MANENO Meir,
..watu wanataka treni za bei mbaya wakati uchumi wetu ni mdogo.
..subirini mama aweke uchumi sawa, wawekezaji waanze kuja, hela ziingie mifukoni tuwe vizuri, halafu serikali itanunua mabehewa yenye viyoyozi tunayoyatamani.
..Watz ni watu wa ajabu kidogo. Tunataka treni za bei mbaya wakati watoto wetu kwa mamilioni wanasoma ktk mazingira magumu.
Wakinamama wanalala kwenye sakafu baada ya kujifungua.
..Jamii ya aina hiyo inastahili ma-dreamliner yanayotia hasara, na matreni ya bei kubwa-kubwa ambayo hata kuyatunza yatatushinda?