Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yakeMnamnyanyapaa kwa sababu ni mwanamke?
Naona mnamuandaa Mzenji kuja kuendeleza legacy.... ipo hivi, wanaomkwamisha ndiyo wanaoutaka urais
Tozo ni mtego ametengenezewa na wahuni ili akose mvuto kisiasa.
Atashtuka too late
Limetimia aganoNajua nafsi yako haitaki uwe hata ulivyo Sasa kwenye nafasi ya uraisi.
Ila wahuni waneona wewe ni mteremko wanafanya mambo Yao kiulaini ndo maana wamekung'ang'ania.
2025-2030 siasa za Tanzania zitakuwa ngumu Sana Kwa mara ya Kwanza tunaweza kupata Raisi kutoka upinzani.
Na uhakika 100% hutazimudu wahuni watakuwa wameshaharibu vya kutosha.
Ni muujiza Tu utakaokufanya uishi kwa Amani tofauti na hapo kiti kitakuwa cha Moto Sana.
Naomba Uzi huu utunzwe.
Adiós.
Kunawaka moto balaaaNajua nafsi yako haitaki uwe hata ulivyo Sasa kwenye nafasi ya uraisi.
Ila wahuni waneona wewe ni mteremko wanafanya mambo Yao kiulaini ndo maana wamekung'ang'ania.
2025-2030 siasa za Tanzania zitakuwa ngumu Sana Kwa mara ya Kwanza tunaweza kupata Raisi kutoka upinzani.
Na uhakika 100% hutazimudu wahuni watakuwa wameshaharibu vya kutosha.
Ni muujiza Tu utakaokufanya uishi kwa Amani tofauti na hapo kiti kitakuwa cha Moto Sana.
Naomba Uzi huu utunzwe.
Adiós.
Mbaya zaidi wanagawana wahuniMi ananiudhi tozo