Rais Samia na mageuzi ya kilimo, benki mpya kwa wakulima

Irene17

Member
Joined
Feb 8, 2025
Posts
42
Reaction score
115
Katika uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan ameweka mkazo mkubwa kwenye kuimarisha sekta ya kilimo (sekta inayoajiri 60% ya watanzania), hatua inayojenga msingi wa maendeleo jumuishi ya taifa. Tathmini ya sera, mikakati na hatua zilizochukuliwa zinaonyesha mwelekeo mzuri wa kulibadilisha kilimo kuwa sekta yenye tija zaidi kiuchumi.

Uwekezaji na Uanzishaji wa Benki Mpya

Leo hii tunaenda kushuhudia uzinduzi wa Benki ya Ushirika ikiwa na mtaji wa Shilingi bilioni 55, hii ni hatua muhimu ya kuimarisha upatikanaji wa mitaji kwa wakulima. Muundo wa umiliki wa hisa-51% kwa wanaushirika na 49 kwa sekta binafsi, unaashiria dhamira ya kuimarisha ushiriki wa wakulima katika usimamizi wa rasilimali.

Mageuzi katika Bajeti ya Kilimo

Katika kipindi cha miaka 5 iliyopita bajeti ya Wizara ya Kilimo imeongezeka kutoka bilioni 229.8 mwaka 2020/21 mpaka Trilioni 1.2 mwaka 2024/25 (Kibajeti mageuzi ya namna hii hayajawahi kutokea Afrika). Mfano; Bajeti ya umwagiliaji ilikuwa Bilioni 12.8 kwa mwaka 2020/21 na sasa ni Bilioni 403.8 mwaka 2024/25.

Programu za Maendeleo kwa Vijana na Wanawake

Kupitia programu kama Building a Better Tomorrow (BBT), vijana wanapewa mafunzo, mitaji na uunganishwaji na masoko. Hii inalenga kuzalisha kizazi kipya cha wakulima wanaotumia mbinu bora za kisasa na kuchangia mapinduzi ya kilimo nchini.

Mikakati ya serikali, utekelezaji wa hatua hizi unatarajiwa kuongeza mchango wa sekta ya kilimo kwenye Pato la Taifa. Aidha, uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara unatarajiwa kuongezeka kwa wastani wa asilimia 5 hadi 7 kila mwaka, jambo litakalo ifanya Tanzania iwe kati ya vinara wazalishaji wa chakula Barani Afrika.

Kwa kuzingatia mikakati iliyowekwa na hatua zinazochukuliwa kwa vitendo, mageuzi yanayoletwa na Rais Samia katika sekta ya kilimo yanaweka msingi wa maendeleo endelevu na kuongeza matumaini kwa mamilioni ya Watanzania. Kwa mara nyingine, kilimo kinawekwa kwenye nafasi yake sahihi kama mhimili wa uchumi wa taifa.

#SamiaTena #MguuKwaMguu
 
Hivi naomba kuuliza dhumuni hasa la kuanzisha Kwa benki ya CRDB lilikuwa ni Nini?
 
kwani Tanzania Agriculture Bank imekufa? Hakuna kiu hapa ni hadaa za kuhadaaa wajinga.
 
Nyingine tena? Ile ya kilimo ya jiwe ishazikwa?
 
Matumizi mabaya ya kodi zetu yanaendelea. TADB iliyoanzishwa enzi za Kikwete iko wapi?

Kwanini ianzishwe bank nyingine?
1000052267.jpg

Hizi billion 60 ni akina nani walinufaika nazo? Ziko wapi hizo hela mpaka mtake kuanzisha bank nyingine?
 
Katika uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan ameweka mkazo mkubwa kwenye kuimarisha sekta ya kilimo (sekta inayoajiri 60% ya watanzania), hatua inayojenga msingi wa maendeleo jumuishi ya taifa. Tathmini ya sera, mikakati na hatua zilizochukuliwa zinaonyesha mwelekeo mzuri wa kulibadilisha kilimo kuwa sekta yenye tija zaidi kiuchumi.

Uwekezaji na Uanzishaji wa Benki Mpya

Leo hii tunaenda kushuhudia uzinduzi wa Benki ya Ushirika ikiwa na mtaji wa Shilingi bilioni 55, hii ni hatua muhimu ya kuimarisha upatikanaji wa mitaji kwa wakulima. Muundo wa umiliki wa hisa-51% kwa wanaushirika na 49 kwa sekta binafsi, unaashiria dhamira ya kuimarisha ushiriki wa wakulima katika usimamizi wa rasilimali.

Mageuzi katika Bajeti ya Kilimo

Katika kipindi cha miaka 5 iliyopita bajeti ya Wizara ya Kilimo imeongezeka kutoka bilioni 229.8 mwaka 2020/21 mpaka Trilioni 1.2 mwaka 2024/25 (Kibajeti mageuzi ya namna hii hayajawahi kutokea Afrika). Mfano; Bajeti ya umwagiliaji ilikuwa Bilioni 12.8 kwa mwaka 2020/21 na sasa ni Bilioni 403.8 mwaka 2024/25.

Programu za Maendeleo kwa Vijana na Wanawake

Kupitia programu kama Building a Better Tomorrow (BBT), vijana wanapewa mafunzo, mitaji na uunganishwaji na masoko. Hii inalenga kuzalisha kizazi kipya cha wakulima wanaotumia mbinu bora za kisasa na kuchangia mapinduzi ya kilimo nchini.

Mikakati ya serikali, utekelezaji wa hatua hizi unatarajiwa kuongeza mchango wa sekta ya kilimo kwenye Pato la Taifa. Aidha, uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara unatarajiwa kuongezeka kwa wastani wa asilimia 5 hadi 7 kila mwaka, jambo litakalo ifanya Tanzania iwe kati ya vinara wazalishaji wa chakula Barani Afrika.

Kwa kuzingatia mikakati iliyowekwa na hatua zinazochukuliwa kwa vitendo, mageuzi yanayoletwa na Rais Samia katika sekta ya kilimo yanaweka msingi wa maendeleo endelevu na kuongeza matumaini kwa mamilioni ya Watanzania. Kwa mara nyingine, kilimo kinawekwa kwenye nafasi yake sahihi kama mhimili wa uchumi wa taifa.

#SamiaTena #MguuKwaMguu
Story za kalumekenge hataki kwenda shule.
 
Bora hizi pesa za kuanzisha benk angenunua matrekta na kuwapa Bure wakulima Kwa kuanzisha vikundi vidogovidogo.Tuna kiongozi hamnazo kabisa awamu hii.Yaani unaanzisha benki wakati kunabenki lukuki kama ADB,crdb nk.
 
Back
Top Bottom