mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,379
- 3,826
Kama sababu ipo hili sio tatizo. Kukiwa na tatizo kiutendaji ni hasara zaidi. Lakini kama hakuna shida ni vizuri kuendelea na aliyepo.Kubadili Waziri Mkuu bila ya sababu zisizoepukika ni gharama sana, kwani tunakuwa na msururu wa mawaziri wakuu wastaafu wanaohudumiwa na serikali.
Sasa hivi tuna Salim, Warioba, Malecela, Msuya, Sumaye, Lowassa, Pinda. Wote ni mawaziri wakuu wqnaohudumiwa kwa stahiki za wastaafu.
Unataka kuongeza Majaliwa naye?
Kwa sababu hii, hutaona Waziri Mkuu akibadilishwa.