Huyu inatakiwa wawe wanamrecordAbdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
💯 only in Tzhaya mambo kwa nchi yetu utasikia watu wankuambia acha kufuatilia mambo ya watu,lakini kwa nchi za wenzetu huko duniani ni jambo la aibu na fedheha kwa mtoto wa kiongozi mkuu wa nchi kuhusishwa kwenye mambo ya ukwepaji kodi na upuuzu mwingine unaofanana na huo.
halafu hiyo familia ya Samia wanavyojifanya wapenda haki,inakuaje wanaruhusu mambo kama haya kwa sababu sio mara ya kwanza kusikia habari za huyo kijana wake hapo kariakoo akisumbuana na maofisa wa TRA?
Unasema biashara ya kuuza matairi ni ya kimasikini ?Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Yajayo yanafurahisha....mapapa wameshamdaka sasa hivi ndio king pin kudai cha juu mradi yoote inayoendelea anaenda front kydaka cha juu...muda ni mwalimu mzuri utasikia mengi ....Tafuta pop corn kabisa...LNG yeye na RA na JM...wako front subiri tuYaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Umeandika upuuzi bora ungekaa kimya tu!.Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Koment ya hovyo 2023Acheni kumsumbua kijana. Mama yake anaupigwa mwingi. Huko ni kumtafutia matatizo na kumgawa mama yake kwenye fikra za watu.
Kama mnajua anaweza nasuka kwanini mumsumbue.
Acheni ujinga na kupoteza muda
Mtoto wa Rais hahitaji kuuza matajiri..kkoo..Unasema biashara ya kuuza matairi ni ya kimasikini ?
Kuna wakati unapwaya sana mkuu.Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA