Sahihi kabisa, Mwigulu hawezi kuibuka na tozo hizo peke yake tu bila baraka za wakubwa wake, hivyo tatizo sio yeye binafsi.Kifupi tu unapaswa ujue Mwigulu yupo tena yupo sana kwenye serikali. Why? Anatekeleza ilani!
Anzeni Kwanza Kumshtakia kwa Rais Mstaafu Kikwete ambaye ndiye anamlinda na kataka Mama ( Rais ) yenu amuweke hapo ili alinde Maslahi yake kupitia Kampuni ya GSM na Klabu yake pendwa ya Yanga huku Mwanae Ridhiwani nae akifanya mengineyo. Kifupi Mama ( Rais ) hawezi Kumtoa hapo kwani yuko Kimkakati zaidi hivyo mnapoteza tu muda wenu kila Siku kumuanzishia hapa Threads za Kumsakizia Rais amtumbue.Kwanza kabisa masuala ya uchumi WA nchi hayapaswi kuwa chini ya mtu mmoja....zamani tulikuwa na Tume ya mipango ambayo waziri alikuwa sehemu ya tume hiyo...jopo la tume hiyo ndo lilikuwa linaendesha uchumi...
Mwigulu ana weakness ya kuongea Kwa kukera watu na ana history ya kutokuwa team player..
Je haya matozo anayoibuka nayo kutwa yamepitiwa na wataalam wote wa wizara husika?....
Nafikiri wakati sasa hiyo wizara ipate mtu mwingine na turudishe tume ya mipango ya Taifa ambayo waziri atakuwa anatekeleza Tu maagizo ya Tume na sio waziri kuwa ndo "muendeshaji mkuu"WA uchumi wa Taifa hasa Kama waziri huyo ana ajenda zake binafsi za kisiasa... Mwigulu atolewe hapo haraka...
Basi wajiuzulu wote TU hakuna namna Wala Nini! Nalo hilo wakalitizame upya!Sahihi kabisa, Mwigulu hawezi kuibuka na tozo hizo peke yake tu bila baraka za wakubwa wake, hivyo tatizo sio yeye binafsi.
Siyo atolewe tu , pia akamatwe kwa wizi wa Tozo za benkiKwanza kabisa masuala ya uchumi WA nchi hayapaswi kuwa chini ya mtu mmoja....zamani tulikuwa na Tume ya mipango ambayo waziri alikuwa sehemu ya tume hiyo...jopo la tume hiyo ndo lilikuwa linaendesha uchumi...
Mwigulu ana weakness ya kuongea Kwa kukera watu na ana history ya kutokuwa team player..
Je haya matozo anayoibuka nayo kutwa yamepitiwa na wataalam wote wa wizara husika?....
Nafikiri wakati sasa hiyo wizara ipate mtu mwingine na turudishe tume ya mipango ya Taifa ambayo waziri atakuwa anatekeleza Tu maagizo ya Tume na sio waziri kuwa ndo "muendeshaji mkuu"WA uchumi wa Taifa hasa Kama waziri huyo ana ajenda zake binafsi za kisiasa... Mwigulu atolewe hapo haraka...
Baraza lipi la Mawaziri , hili la akina Simbachawene ?Bajeti haiwezi pitishwa au pelekwa bungeni bila baraza la mawaziri kupata dondoo.
Rais ambaye ni mwenyekiti wa baraza hilo anajua kila kitu
Mimi nadhani hali bado ni nzuri sana ikiwezekana waongeze tozo maradufu ndio Watanzania wataamka usingizini na kubaini kazi ya kutetea haki zao siyo ya vyama vya Siasa, au Mbowe, Lisu na Zitto Bali ni jukumu la wananchi wenyewe, na maandamano huwa hayaombwi Bali mnapoumizwa na jambo ni kuingia barabarani na wanasiasa mnawaweka pembeni.Kwanza kabisa masuala ya uchumi WA nchi hayapaswi kuwa chini ya mtu mmoja....zamani tulikuwa na Tume ya mipango ambayo waziri alikuwa sehemu ya tume hiyo...jopo la tume hiyo ndo lilikuwa linaendesha uchumi...
Mwigulu ana weakness ya kuongea Kwa kukera watu na ana history ya kutokuwa team player..
Je haya matozo anayoibuka nayo kutwa yamepitiwa na wataalam wote wa wizara husika?....
Nafikiri wakati sasa hiyo wizara ipate mtu mwingine na turudishe tume ya mipango ya Taifa ambayo waziri atakuwa anatekeleza Tu maagizo ya Tume na sio waziri kuwa ndo "muendeshaji mkuu"WA uchumi wa Taifa hasa Kama waziri huyo ana ajenda zake binafsi za kisiasa... Mwigulu atolewe hapo haraka...
Hapo amewekwa ajichafue ila akija kujitambua tayari keshachafuka Hui ndo ccm yangu.Anzeni Kwanza Kumshtakia kwa Rais Mstaafu Kikwete ambaye ndiye anamlinda na kataka Mama ( Rais ) yenu amuweke hapo ili alinde Maslahi yake kupitia Kampuni ya GSM na Klabu yake pendwa ya Yanga huku Mwanae Ridhiwani nae akifanya mengineyo. Kifupi Mama ( Rais ) hawezi Kumtoa hapo kwani yuko Kimkakati zaidi hivyo mnapoteza tu muda wenu kila Siku kumuanzishia hapa Threads za Kumsakizia Rais amtumbue.
Hivi huyu ana pesa gani mpaka amiliki timu ligi kuu? Au tozo zetu zinakwenda Singida big stars?Hapo amewekwa ajichafue ila akija kujitambua tayari keshachafuka Hui ndo ccm yangu.
Unatengenezewa mazingira kama unapendwa kumbe kuna team inakufuatilia ya kukusifia mwisho kwisha habari ktk yale mawe na madaraja yaliyoandikwa Mwigulu Rais.
Na huyu hana muda ataondolewa ni muda tu utasikia Kinana na Shaka wakiongelea swala tozo ndo utajua siasa ni mipango
Unaamini zile tozo ni za Mwigulu na siyo huyo Mama. Kazi ipo.Kwanza kabisa masuala ya uchumi WA nchi hayapaswi kuwa chini ya mtu mmoja....zamani tulikuwa na Tume ya mipango ambayo waziri alikuwa sehemu ya tume hiyo...jopo la tume hiyo ndo lilikuwa linaendesha uchumi...
Mwigulu ana weakness ya kuongea Kwa kukera watu na ana history ya kutokuwa team player..
Je haya matozo anayoibuka nayo kutwa yamepitiwa na wataalam wote wa wizara husika?....
Nafikiri wakati sasa hiyo wizara ipate mtu mwingine na turudishe tume ya mipango ya Taifa ambayo waziri atakuwa anatekeleza Tu maagizo ya Tume na sio waziri kuwa ndo "muendeshaji mkuu"WA uchumi wa Taifa hasa Kama waziri huyo ana ajenda zake binafsi za kisiasa... Mwigulu atolewe hapo haraka...
Kama wewe unajua unadhani wao hawajui hilo? Nchi hii viongozi wana shida ya uongozi sababu ya pesa. Wapo pale kuchota pesa, mambo ya kesho wanamwachia Mungu.Hapo amewekwa ajichafue ila akija kujitambua tayari keshachafuka Hui ndo ccm yangu.
Unatengenezewa mazingira kama unapendwa kumbe kuna team inakufuatilia ya kukusifia mwisho kwisha habari ktk yale mawe na madaraja yaliyoandikwa Mwigulu Rais.
Na huyu hana muda ataondolewa ni muda tu utasikia Kinana na Shaka wakiongelea swala tozo ndo utajua siasa ni mipango
Hii ndio njia pekee ambayo kilio cha wananchi kingesika, maana mwananchi wa chini ndo anaumia.Kunahitajika maandamano makubwa ya kiraia badala ya kugombea jezi za Simba na Yanga na upuuzi wa lete mzung