Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,362
- 111,624
Mama yuko lelelele, achana na uzushi wa mitandaoni.Mi naamini sio AI hii!maana!!?
Naelewa sana!!Mama yuko lelelele, achana na uzushi wa mitandaoni.
JK ndio hadi kwenye harusi yupo anacheza Kwaito.
Nilishajifunza kutowachukia watu hawa ni kujipa vidonda vya tumbo tu bure.
Kuna mwalimu tulikuwa hatumpendi shuleni basi huyo mwaka mzima hana dharura wala haumwi hata mafuwa hana absent siku zote yupo hakosekani hata siku moja.
Sasa ndio mjifunze kuishi na hawa wachukulieni kawaida na kama kuna deal unaziona changamkia piga nao deal ufanye maisha, hawa wanasiasa nyinyi mnakaushana mate wakishashake hand wanagawana mkate mambo yanakwenda.
Hamjifunzi kinachoendelea Zanzibar? Ni kimya tule wote.
Utakosa malori ya kubeba makontena huyu? Haiwezekani watuswage Temeke hivihivi kwa ajili ya wawekezaji hewa.Kwa cheo chake lazima anauwekezaji sehemu nzuri nzuri mikoa tofauti
Huo ni uchochezi sasa, hiyo miili iko wapi?Na sisi tunataka kuzika.
Rudisheni miili ya wadogo zetu shetani nyie
Sogea Chochea na wewe usikae mbali.Huo ni uchochezi sasa, hiyo miili iko wapi?
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24 Oktoba, 2026 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 3699569View attachment 3699570View attachment 3699571View attachment 3699572View attachment 3699573View attachment 3699574

Ila sijaona kumbukumbu yeyote.ya msibani kwà mhanga wa oct29🤔Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24 Oktoba, 2026 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 3699569View attachment 3699570View attachment 3699571View attachment 3699572View attachment 3699573View attachment 3699574
MSILETE TAHARUKI KIFO NI KIFOMheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24 Oktoba, 2026 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 3699569View attachment 3699570View attachment 3699571View attachment 3699572View attachment 3699573View attachment 3699574
Aaah huyu achana naye, anazidi kuwa mfupi.Chalamila kitambi kama anataka kumrithi Chivayo kushindwa kukaa!
Machawa mnabinuka sarakasi tu na kupiga nderemoMama yuko lelelele, achana na uzushi wa mitandaoni.