Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,169
- 898
IGP anakaa zake Masaki.Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24 Oktoba, 2026 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 3699569View attachment 3699570View attachment 3699571View attachment 3699572View attachment 3699573View attachment 3699574
Nyumba ya Gavaa, huwa wanajisahau sana pamoja na vyeo vyao na rushwa wanazokula, utakuta ana nyumba huko Chanika, au Mbagara Kiburugwa😀😀.IGP anakaa zake Masaki.
Kwa cheo chake lazima anauwekezaji sehemu nzuri nzuri mikoa tofautiNyumba ya Gavaa, huwa wanajisahau sana pamoja na vyeo vyao na rushwa wanazokula, utakuta ana nyumba huko Chanika, au Mbagara Kiburugwa😀😀.
wapinzani na ndugu zao wanaharakati wakiiona hii picha watashikwa na ganzi ghafla maana waliaminishana rais anaumwa sijui kaparalaizi kiko wapi? wameshindwa siasa wanahamia kwenye chuki imewasaidia nini?Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24 Oktoba, 2026 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 3699569View attachment 3699570View attachment 3699571View attachment 3699572View attachment 3699573View attachment 3699574
Ameenda kumfariji MUUAJI MWENZIEMheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24 Oktoba, 2026 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 3699569View attachment 3699570View attachment 3699571View attachment 3699572View attachment 3699573View attachment 3699574
kila siku ipo siku mwisho twaha katekwa........simpatii muda huu twaha anavyobanwa na prizeA
Ameenda kumfariji MUUAJI MWENZIE
IPO SIKU ISIYO NA JINA
Mzee Deus Wambura amekufa na miaka 100, unataka nini zaidiKumbe na wao wanakufa nilidhani wanaishi milele
Mtume Mwamposa kuna muujiza huku. Maiti yaenda kuaga maiti nchini MalawiMheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24 Oktoba, 2026 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 3699569View attachment 3699570View attachment 3699571View attachment 3699572View attachment 3699573View attachment 3699574
hawana hojaMzee Deus Wambura amekufa na miaka 100, unataka nini zaidi
Hao top wana nyumba zao huko,ni wa ngazi za chini tu ndiyo choka!Nyumba ya Gavaa, huwa wanajisahau sana pamoja na vyeo vyao na rushwa wanazokula, utakuta ana nyumba huko Chanika, au Mbagara Kiburugwa😀😀.
Zelothe ana minoti mkuu, sio mchovu, huyu amesomesha watoto flying school huko USA.Hao top wana nyumba zao huko,ni wa ngazi za chini tu ndiyo choka!
Zelothe Steven hakuwahi kuwa IGP wala CP ila msiba wake ulikuwa nyumbani kwake Sea Cliff.
Hivi unamkumbuka yule mzee aliyekuwa katibu mkuu Uchukuzi?, huyu alitolewa vyombo ndani baada ya kustafu.Kwa cheo chake lazima anauwekezaji sehemu nzuri nzuri mikoa tofauti