GE2025 Rais Samia: Mkinipa kura mtatibiwa figo bure

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,697
Reaction score
39,154
Hivi kwani Sasa Rais ni nani?
Anasubiri Nini kutibu hao wagonjwa wa figo?
Wagonjwa wa figo wa Sasa wafe hadi Rais atakapokuwa Rais tena?
Rais Samia anaweza kuwatibia hao wagonjwa bure, maana wanateseka.

Binafsi sikuelewa hii kauli
 
Mkipona mafigo yenu halafu mkanisema vibaya nikiwashika naweweka jela mnyongwe hadi kufa!
 
tatizo figo zakupandikiza tutapata wapi? au hata za mbuzi zinafaa?
 
Maana yake ni kuwa, kama hutaipa kura CCM utakufa kwa ugonjwa wa Figo. Kwanini usiipe kura CCM?🤣
Kama siyo kuchanganyikiwa kwa Bi Chura ni nini, yaani anawaomba kura wagonjwa wa Figo?? Vipi wengine hataki kura zao??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…