PostGE2025 Rais Samia: Majaji simamieni Haki kwa kuzingatia Katiba bila upendeleo

PostGE2025 Rais Samia: Majaji simamieni Haki kwa kuzingatia Katiba bila upendeleo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ukimuangalia anachokiongea, halafu ukaenda kukiangalia kile anachokitekeleza, utakuta ni vitu viwili tofauti!! Sijui shida yake kubwa ni nini! Binafsi hata sielewi.
 
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma.

"Nitoe msisitizo kwamba kwa upande wetu Serikali, tutatimiza wajibu wetu wakuendelea kuimarisha huduma za Mahakama, lakini niwatake nanyi kutimiza wajibu wenu ndugu zangu Majaji na Mahakimu ambao ni kusimamia HAKI kwa kuzingatia KATIBA, SHERIA na MAADILI bila hofu, huba wala upendeleo na hiki ndicho kiapo chenu"
"katiba"! Kale alikosema "ni kijitabu"! Sio msahafu.
 
Back
Top Bottom