Rais Samia: Mabadiliko ya mawaziri si adhabu

wanyama wameanza kuhamishwa bara kupelekwa zanzibar
Kwa sasa wanyama wa Bara kupelekwa Zanzibar si sawa lkn wanyama wa Zanzibar kupelekwa Bara ilikuwa sawa. Hii ni kwasababu Zanzibar ni koloni la Bara?
 
Wenzake anawaambia wawatumikie kwa upole na si ujinga wakati yeye mwenyeww anafanya mambo ya kijinga.wanyama wameanza kuhamishwa bara kupelekwa zanzibar,ardhi ya loliondo imeuzwa kwa waarabu na wazawa wakikosa sehemu ya kuishi.mambo mengi tu yanafanyika ya kijinga
Hivi mnataka tuongee mara ngapi au kwa lugha gani hata muelewe?
Tanzania ni matokeo ya Muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar. Tanganyika ikajiua na kuicha Zanzibar, technically, hapo Zanzibar ndiye mrithi halali wa mali zote zilizo chini ya jina la Tanzania.
Zanzibar ni vile tu ni waelewa, wapole na wenye utu, ila technically, wao ni Wakiamua kujigeuza kuwa wakoloni wenu wanaweza. Wao wanaweza waka ndiyo Tabaka tawala la Tanzania na wenye maamuzi yote ya 'Veto' kuhusu Tanzania, sababu kati ya wamiliki wawili wa Tanzania, mmoja aliamua kujiua kwa hiari na Zanzibar kujikuta imeachiwa umiliki wa Mali zote.
Zanzibar wakiamua wanawwza wakawa ndiyo 'Ayatollah' au absolute monarchy.
 
Kwanza kwa nini kawa apishia uko zenji huyo kibibi sisi anatuonaje
Akiwa Ikulu ndogo Zanzibar leo September mosi 2023 kwenye uapisho wa mawaziri aliowateua Rais Samia amesema mabadiliko aliyoyafanya sio adhabu bali kuboresha. Rais Samia amesema maendeleo lazima yawe na bandika bandua.

Rais Samia amewataka walioteuliwa kutumikia watu na upole si ujinga. Kwa wateuliwa wapya kabisa amesema wamekuwa wakipaza sauti kwa mawaziri bungeni sasa ni zamu yao kwenda kutekeleza waliyokuwa wakiyapigia kelele.
 
Kwa sasa wanyama wa Bara kupelekwa Zanzibar si sawa lkn wanyama wa Zanzibar kupelekwa Bara ilikuwa sawa. Hii ni kwasababu Zanzibar ni koloni la Bara?
Zanzibar Ina wanyama gani?
 
Hivi mnataka tuongee mara ngapi au kwa lugha gani hata muelewe?
Tanzania ni matokeo ya Muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar. Tanganyika ikajiua na kuicha Zanzibar, technically, hapo Zanzibar ndiye mrithi halali wa mali zote zilizo chini ya jina la Tanzania.
Zanzibar ni vile tu ni waelewa, wapole na wenye utu, ila technically, wao ni Wakiamua kujigeuza kuwa wakoloni wenu wanaweza. Wao wanaweza waka ndiyo Tabaka tawala la Tanzania na wenye maamuzi yote ya 'Veto' kuhusu Tanzania, sababu kati ya wamiliki wawili wa Tanzania, mmoja aliamua kujiua kwa hiari na Zanzibar kujikuta imeachiwa umiliki wa Mali zote.
Zanzibar wakiamua wanawwza wakawa ndiyo 'Ayatollah' au absolute monarchy.
Tanganyika ilijiuwaje?. Punguza porojo.
 
Hiki ndio anaweza kuteua na kutengua.wafanya bznes wa mafuta wanaficha mafuta kila wakikalibia mwisho w mwezi au juma5 ya mwanzo w mwezi kwa bei mpya tu.
 
Back
Top Bottom