Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,154
- 10,809
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha mabalozi Ikulu Dares Salaam amesema kwenye hili janga la corona dunia nzima imekubaliana na philosophy ya hayati Magufuli kuwa ugonjwa wa Corona ni janga ambalo binadamu watalazimika kujifunza jinsi ya kuishi nao kwani haijulikani lini utaondoka.
Rais Samia amesema hata nchi walizokuwa wamefunga viwanda na kuweka lockdown wameamua sasa kwamba kazi iendelee na wamefungua viwanda vyote na kuanza uzalishaji tena kama zamani.
My take
Corona ilipoingia hapa Tanzania wabunge wa chadema wakiongozwa na Mbowe walikimbia bunge na kwenda kujifungia ndani na kuwaacha wenzao wakiendelea kuchapa kazi chini ya spika shupavu Ndugai.