Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,284
- 30,158
Nitatoa mchongo wangu baada ya kusikia maoni ya watu wa wili humu Lucasi Mwashamba na TlaatlaahHuwezi kuacha kujiuliza hili swali.
Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.
Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani.
Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana walikuwa na silaha.
Polisi sasa hivi inajimunya munya kueleza tukio ambalo halina kichwa wala miguu
Amiri jeshi mkuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama ni Rais wetu Samia Suluhu.
Lakini kwa matukio kukithiri na hakuna maelezo yoyote toka Waziri wa Mambo ya Ndani wala kiongozi yeyote Polisi, inamaana wako katika ganzi fulani.
Twajiuliza, Je Mama Samia anahusika na huu utekaji?
Maoni yenu wakuu!
Lucas Mwashambwa ,TlaatlaahNitatoa mchongo wangu baada ya kusikia maoni ya watu wa wili humu Lucasi Mwashamba na Tlaatlaah
Hii inatokana na udhaifu wa katiba watu nafasi nyeti ni wa kuteuliwa na rais, make it easy for her to control themNjaa mbaya sana. Kisa njaa na hofu ya kupoteza kazi au cheo usikute DG anaogopa kuwashughulikia watekaji vinginevyo ni mmojawao.
Sponsor wa abductions anaanzaje kukemea abductions?Huwezi kuacha kujiuliza hili swali.
Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.
Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani.
Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana walikuwa na silaha.
Polisi sasa hivi inajimunya munya kueleza tukio ambalo halina kichwa wala miguu
Amiri jeshi mkuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama ni Rais wetu Samia Suluhu.
Lakini kwa matukio kukithiri na hakuna maelezo yoyote toka Waziri wa Mambo ya Ndani wala kiongozi yeyote Polisi, inamaana wako katika ganzi fulani.
Twajiuliza, Je Mama Samia anahusika na huu utekaji?
Maoni yenu wakuu!
Utekaji na maovu yote wanayofanyiwa Chadema na wakosoaji wa serikali una baraka za Samia kwa 100%.Huwezi kuacha kujiuliza hili swali.
Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.
Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani.
Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana walikuwa na silaha.
Polisi sasa hivi inajimunya munya kueleza tukio ambalo halina kichwa wala miguu
Amiri jeshi mkuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama ni Rais wetu Samia Suluhu.
Lakini kwa matukio kukithiri na hakuna maelezo yoyote toka Waziri wa Mambo ya Ndani wala kiongozi yeyote Polisi, inamaana wako katika ganzi fulani.
Twajiuliza, Je Mama Samia anahusika na huu utekaji?
Maoni yenu wakuu!
Haya maroboti ya humu yanajibu kama yamekatw kichwa
Siasa ni maisha mkuu.siasa inatumalizia ndugu zetu....nibora isiwepo kabisa kama mmeshindwa kukaa meza moja hatuifurahii kabisa..mfano, mzuri ni kama huu leo Rais hatambuliki kwa kisingizio hakuchaguliwa na wananchi halafu matukio haya yanayotokea hao hao ambao hawamtambui kuwa ni Rais wao eti wanamtaka atoke hadharani kukemea huu utekaji na mauwaji halafu na vyombo yake kuvituhumu...haya kwasisi tunaoamini alipita kihalali tunaona haya matukio hayakemewi hata bungeni...tunabaki kujiuliza hii vita ya chini kwa chini ya kisiasa itaisha lini? Naichukia saaaaaaana siasa.Kama ningekuwa na uwezo vyama vyote ningevifuta tukaanza upya..Ushauri tena CHADEMA jishusheni CCM jishusheni Tulijenge taifa.
sasa kwa kauli kama hizi sindo mnaipa hasira Dola.Hyo nguvu itakayotumika ni nguvu ya namna gani?Ndugu mwananchi ili tutoke salama unashauri nini kifanyike.siasa inatumalizia ndugu zetu....nibora isiwepo kabisa kama mmeshindwa kukaa meza moja hatuifurahii kabisa..mfano, mzuri ni kama huu leo Rais hatambuliki kwa kisingizio hakuchaguliwa na wananchi halafu matukio haya yanayotokea hao hao ambao hawamtambui kuwa ni Rais wao eti wanamtaka atoke hadharani kukemea huu utekaji na mauwaji halafu na vyombo yake kuvituhumu...haya kwasisi tunaoamini alipita kihalali tunaona haya matukio hayakemewi hata bungeni...tunabaki kujiuliza hii vita ya chini kwa chini ya kisiasa itaisha lini? Naichukia saaaaaaana siasa.Kama ningekuwa na uwezo vyama vyote ningevifuta tukaanza upya..Ushauri tena CHADEMA jishusheni CCM jishusheni Tulijenge taifa.
Ni serkali na Mungu atawaadhibu vikali.Huwezi kuacha kujiuliza hili swali.