Rais Samia kuzindua soko la Kariakoo Februari 8

Rais Samia kuzindua soko la Kariakoo Februari 8

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,691
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Soko la Kariakoo, Dar es Salaam Februari 08, 2026 baada ya soko hilo kufanyiwa ukarabati.

Ikumbukwe kuwa mara ya mwisho kwa Samia kwenda kwenye soko la Kariakoo mara ya mwisho tarehe 1 Juni 2021. alipofanya ziara ya ghafla, na kisha kuzungumza na wafanyabiashara

IMG_3840.png
 
Kwanini asingeeendelea tu kukaa huko dubai .
 
Hakuna lolote atakalolifanya litakaloweza kufukia ushetani alioufanya Oct 29 wa kupora uchaguzi, na kisha kuwaua watu kwa maelfu.
 
Ila watz bhna....kwahyo watu wanatoka na kumshamgilia, washasahau kabsa
 
Back
Top Bottom