Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,647
- 49,633
Hiki ni kipimo cha maendeleo Tanzania tumetoka wapi na tuko wapi. Kwenye world rankings za "kWh per capita" tuko juu sana ukilinganisha na jirani zetu hasimu. Nairobi kuna maeneo yana umeme lakini hayana umeme. Johannesburg wana rationing ya wiki moja moja. I repeat, kama Dr Tuliya alichaguliwa Rais wa Mabunge kwa umahiri wake, Samiya naye ni Rais wa dunia kwa umeme wake. Hawa wanapinga kwa ubibafsi wao na upumbavu wao. Ni bora ujinga huisha ukienda shule lakini upumbavu ni maumbile kama mtu mrefu au mfupi.Hello Rais Samia!
Shikamoo mama na Rais wa nchi tukufu ya Tanzania.
Nakuomba ung'atuke/ ujiuzulu kwa maslahi mapana ya Taifa.
Suala la nishati ya umeme kusuasua zaidi ya miezi 12 inatosha kabisa wewe kutangaza maamuzi magumu ya kujiuzulu.
Ukijiuzulu utapata heshima kubwa na Watanzania tutauthamini utu wako milele.
Wahandisi wako na mawaziri wako sababu za kusuasua kwa umeme wamezisema kuwa ni 3 ingawa kila sababu Ina msimu wake
•Leo watasema ni kupungua kwa maji katika mabwawa ya uzalishaji umeme.
•Kesho wanageuka na kusema maji yamevuka Kingo za mabwawa ya uzalishaji umeme.
•Mwishowe wanasema ni maintenance ya miundombinu ya umeme ambayo ni chakavu.
Swali : Hiyo maintenance ilisubiri ifanyike kipindi chako?
Kwanini usiseme kama kuna maintenance sawa lakini nataka ifanyike kipindi kingine, si cha utawala wangu?
Nakuomba Rais Samia ung'atuke.
uyasemayo ni kipimo Cha uwezo wako mdogo wa akiliHiki ni kipimo cha maendeleo Tanzania tumetoka wapi na tuko wapi. Kwenye world rankings za "kWh per capita" tuko juu sana ukilinganisha na jirani zetu hasimu. Nairobi kuna maeneo yana umeme lakini hayana umeme. Johannesburg wana rationing ya wiki moja moja. I repeat, kama Dr Tuliya alichaguliwa Rais wa Mabunge kwa umahiri wake, Samiya naye ni Rais wa dunia kwa umeme wake. Hawa wanapinga kwa ubibafsi wao na upumbavu wao. Ni bora ujinga huisha ukienda shule lakini upumbavu ni maumbile kama mtu mrefu au mfupi.
Andika VIZURI WE KIROBOTO..Maana we sio CHAWA.Hiki ni kipimo cha maendeleo Tanzania tumetoka wapi na tuko wapi. Kwenye world rankings za "kWh per capita" tuko juu sana ukilinganisha na jirani zetu hasimu. Nairobi kuna maeneo yana umeme lakini hayana umeme. Johannesburg wana rationing ya wiki moja moja. I repeat, kama Dr Tuliya alichaguliwa Rais wa Mabunge kwa umahiri wake, Samiya naye ni Rais wa dunia kwa umeme wake. Hawa wanapinga kwa ubibafsi wao na upumbavu wao. Ni bora ujinga huisha ukienda shule lakini upumbavu ni maumbile kama mtu mrefu au mfupi.
Ingekuwa Kila Changamoto ikitokea Rais anang'atuka basi Dunia na Tzn ingekuwa na mzigo wa Marais.Hello Rais Samia!
Shikamoo mama na Rais wa nchi tukufu ya Tanzania.
Nakuomba ung'atuke/ ujiuzulu kwa maslahi mapana ya Taifa.
Suala la nishati ya umeme kusuasua zaidi ya miezi 12 inatosha kabisa wewe kutangaza maamuzi magumu ya kujiuzulu.
Ukijiuzulu utapata heshima kubwa na Watanzania tutauthamini utu wako milele.
Wahandisi wako na mawaziri wako sababu za kusuasua kwa umeme wamezisema kuwa ni 3 ingawa kila sababu Ina msimu wake
•Leo watasema ni kupungua kwa maji katika mabwawa ya uzalishaji umeme.
•Kesho wanageuka na kusema maji yamevuka Kingo za mabwawa ya uzalishaji umeme.
•Mwishowe wanasema ni maintenance ya miundombinu ya umeme ambayo ni chakavu.
Swali : Hiyo maintenance ilisubiri ifanyike kipindi chako?
Kwanini usiseme kama kuna maintenance sawa lakini nataka ifanyike kipindi kingine, si cha utawala wangu?
Nakuomba Rais Samia ung'atuke.
Uking'atuka Mimi sitainyemelea nafasi yako na sina ndugu au rafiki mwenye hadhi ya Urais kwasasa.
LGF nikitaka kukutukana kisomi ningesema "wewe ni fala" kwa sababu mtoto wa jirani yako anatemmbea peku unajisifia kwa wakwako kuvaa ndala?"Hiki ni kipimo cha maendeleo Tanzania tumetoka wapi na tuko wapi. Kwenye world rankings za "kWh per capita" tuko juu sana ukilinganisha na jirani zetu hasimu. Nairobi kuna maeneo yana umeme lakini hayana umeme. Johannesburg wana rationing ya wiki moja moja. I repeat, kama Dr Tuliya alichaguliwa Rais wa Mabunge kwa umahiri wake, Samiya naye ni Rais wa dunia kwa umeme wake. Hawa wanapinga kwa ubibafsi wao na upumbavu wao. Ni bora ujinga huisha ukienda shule lakini upumbavu ni maumbile kama mtu mrefu au mfupi.
Hili nalo nendeni mkalitizame!Kwani nchi hii Ina Raisi?
Una mawazo mgando, na nakushauli upunguze kujipendekezaHiki ni kipimo cha maendeleo Tanzania tumetoka wapi na tuko wapi. Kwenye world rankings za "kWh per capita" tuko juu sana ukilinganisha na jirani zetu hasimu. Nairobi kuna maeneo yana umeme lakini hayana umeme. Johannesburg wana rationing ya wiki moja moja. I repeat, kama Dr Tuliya alichaguliwa Rais wa Mabunge kwa umahiri wake, Samiya naye ni Rais wa dunia kwa umeme wake. Hawa wanapinga kwa ubibafsi wao na upumbavu wao. Ni bora ujinga huisha ukienda shule lakini upumbavu ni maumbile kama mtu mrefu au mfupi.
Kwani nchi hii Ina Raisi?
Siku likiondoka hili nitamwimbia na kumshukru bwana. Sijui hata kilitokea Nini Hadi likaingia madarakaniHello Rais Samia!
Shikamoo mama na Rais wa nchi tukufu ya Tanzania.
Nakuomba ung'atuke/ ujiuzulu kwa maslahi mapana ya Taifa.
Suala la nishati ya umeme kusuasua zaidi ya miezi 12 inatosha kabisa wewe kutangaza maamuzi magumu ya kujiuzulu.
Ukijiuzulu utapata heshima kubwa na Watanzania tutauthamini utu wako milele.
Wahandisi wako na mawaziri wako sababu za kusuasua kwa umeme wamezisema kuwa ni 3 ingawa kila sababu Ina msimu wake
•Leo watasema ni kupungua kwa maji katika mabwawa ya uzalishaji umeme.
•Kesho wanageuka na kusema maji yamevuka Kingo za mabwawa ya uzalishaji umeme.
•Mwishowe wanasema ni maintenance ya miundombinu ya umeme ambayo ni chakavu.
Swali : Hiyo maintenance ilisubiri ifanyike kipindi chako?
Kwanini usiseme kama kuna maintenance sawa lakini nataka ifanyike kipindi kingine, si cha utawala wangu?
Nakuomba Rais Samia ung'atuke.
Uking'atuka Mimi sitainyemelea nafasi yako na sina ndugu au rafiki mwenye hadhi ya Urais kwasasa.
Mkuu kwa vile Januari Makamba hayupo, na aliyepo ni mwana, mmeona mumgeukie Rais Samia kabisa! Mnamharibia mwana mazima sasa!Hello Rais Samia!
Shikamoo mama na Rais wa nchi tukufu ya Tanzania.
Nakuomba ung'atuke/ ujiuzulu kwa maslahi mapana ya Taifa.
Suala la nishati ya umeme kusuasua zaidi ya miezi 12 inatosha kabisa wewe kutangaza maamuzi magumu ya kujiuzulu.
Ukijiuzulu utapata heshima kubwa na Watanzania tutauthamini utu wako milele.
Wahandisi wako na mawaziri wako sababu za kusuasua kwa umeme wamezisema kuwa ni 3 ingawa kila sababu Ina msimu wake
•Leo watasema ni kupungua kwa maji katika mabwawa ya uzalishaji umeme.
•Kesho wanageuka na kusema maji yamevuka Kingo za mabwawa ya uzalishaji umeme.
•Mwishowe wanasema ni maintenance ya miundombinu ya umeme ambayo ni chakavu.
Swali : Hiyo maintenance ilisubiri ifanyike kipindi chako?
Kwanini usiseme kama kuna maintenance sawa lakini nataka ifanyike kipindi kingine, si cha utawala wangu?
Nakuomba Rais Samia ung'atuke.
Uking'atuka Mimi sitainyemelea nafasi yako na sina ndugu au rafiki mwenye hadhi ya Urais kwasasa.
Mwenyekiti wa CCM TaifaKwani nchi hii Ina Raisi?