Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 39,514
- 25,514
- Thread starter
- #101
Mimi naongea ukweli na kama unahisi ni uongo basi waweza kuthibitisha kuwa ni vipi ni uongoUnaongea na vitu vya Uongo unafaidika Nini na uongo huu Mkuu?
Mimi naongea ukweli na kama unahisi ni uongo basi waweza kuthibitisha kuwa ni vipi ni uongoUnaongea na vitu vya Uongo unafaidika Nini na uongo huu Mkuu?
Mungu akupe moyo wa Upendo na huruma kwa wengine, Amen.Mimi naongea ukweli na kama unahisi ni uongo basi waweza kuthibitisha kuwa ni vipi ni uongo
Kule Moshi mpk alifanya kikao na bawachaKiguu na njia Mwanza kwa wachaga ataenda lini, kwa wanyakyusa jeee?
Ni mama Samia mpaka 2030.Mwakani mama anatangaza kustafu ,we chawa utaficha macho Yako wapi
MATARAJIO YATAKAYO TOKEA ZIARA HII YA KIHISTORIA KUBATIZWA AZIMIO LA MWANZA 2024
Mhimili wa Bunge tarehe 30 January 2024 Bunge la Dodoma kujadili miswada iliyokataliwa na umma.
Mhimili wa dola (state) kupitia kiongozi mkuu, utakuwa Mwanza kuwahi kutangaza ipo sikivu kwa kutumia 4Rs na kuamua kuondoa miswada ya sheria za uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi kutokana na hoja mpya zilizoletwa mbele ya kamati ya Bunge, mkutano wa Vyama vya siasa na wadau wa demokrasia bila kusahau madai yaliyotolewa kupitia maandamano ya tarehe 24 January 2024
Wananchi watashangilia sana na hivyo wahafidhina waliokuwa wanamtia hofu rais kuwa maandamano yatageuka kuleta uvunjifu au kupindua nchi wataanguka kwa kuishiwa nguvu.
Kutokana na msimamo wa kiongozi wao mkuu wa CCM kuona umuhimu wa madai ya raia wengi walio na mawazo tofauti na ya wanaojiita msimamo mkali wa kimapinduzi bila kusahau machawa wa kisiasa waliokuwa wamejianda kwa kila hila kulipeleka jahazi la nchi na nahodha wake rais mrama akwae mwamba na chombo kivunjike vipande vipande ..
AZIMIO LA MWANZA JANUARY 30 litaasisiwa na kuwa moja ya maazimio ya kihistoria ktk taifa letu kwa miaka 200 ijayo huku legacy ya mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan ikikumbukwa kuwa na kiongozi shupavu, msikivu asiye na woga aliyeliivusha taifa toka mikononi kwa wachache walinda maslahi ya vyeo vyao badala ya maslahi mapana ya taifa letu. .
Caucus ya wabunge wa ccm ni masuala ya wana ccm wenyewe ndani ya chama chao, ili wakiingia Bungeni wafanywe maamuzi kwa umoja bila kupingana
Amen,na iwe hivyoMATARAJIO YATAKAYO TOKEA ZIARA HII YA KIHISTORIA KUBATIZWA AZIMIO LA MWANZA 2024
Mhimili wa Bunge tarehe 30 January 2024 Bunge la Dodoma kujadili miswada iliyokataliwa na umma.
Mhimili wa dola (state) kupitia kiongozi mkuu, utakuwa Mwanza kuwahi kutangaza ipo sikivu kwa kutumia 4Rs na kuamua kuondoa miswada ya sheria za uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi kutokana na hoja mpya zilizoletwa mbele ya kamati ya Bunge, mkutano wa Vyama vya siasa na wadau wa demokrasia bila kusahau madai yaliyotolewa kupitia maandamano ya tarehe 24 January 2024
Wananchi watashangilia sana na hivyo wahafidhina waliokuwa wanamtia hofu rais kuwa maandamano yatageuka kuleta uvunjifu au kupindua nchi wataanguka kwa kuishiwa nguvu.
Kutokana na msimamo wa kiongozi wao mkuu wa CCM kuona umuhimu wa madai ya raia wengi walio na mawazo tofauti na ya wanaojiita msimamo mkali wa kimapinduzi bila kusahau machawa wa kisiasa waliokuwa wamejianda kwa kila hila kulipeleka jahazi la nchi na nahodha wake rais mrama akwae mwamba na chombo kivunjike vipande vipande ..
AZIMIO LA MWANZA JANUARY 30 litaasisiwa na kuwa moja ya maazimio ya kihistoria ktk taifa letu kwa miaka 200 ijayo huku legacy ya mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan ikikumbukwa kuwa na kiongozi shupavu, msikivu asiye na woga aliyeliivusha taifa toka mikononi kwa wachache walinda maslahi ya vyeo vyao badala ya maslahi mapana ya taifa letu. .
Usisahau kumwambia pia asithubutu asilani kunajisi uchaguzi zote yasije yakamkuta yale ya mwebda kwa maana Mungu ameshachukizwa na haya yanayoendelea HAKI HAKI!..!.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nuru ya wanyonge, nyota ya matumaini anatarajiwa kuitikisa na kuliteka jiji la Mwanza Tarehe 30 januari.
Kwa hiyo wana Mwanza kaeni mkao wa kumpokea Mama yetu na Shujaa Wetu ambaye wakati wote ametuongoza kwa ujasiri ,uimara , umadhubuti na uhodari wa hali juu sana.ametimiza ile kauli yake ya kwamba tutizame mbele kwa matumaini na siyo hofu.
Kwa kweli na kwa hakika katika mikono ya Rais Samia kila mtazania amejaa matumaini tele katika imani ya kutimiza ndoto zake. Ni kweli ndugu zangu nakubali kuwa changamoto huwa hazikosekani kwa nchi yoyote ile.lakini Watanzania wenzangu kwa macho yetu tunajionea juhudi kubwa sana na zenye dhamira njema zinazofanywa na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa katika kutatua changamoto mbalimbali.
Kikubwa tuendelee kumuunga mkono,kumpa ushirikiano na kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Mama yetu ni binadamu kama tulivyo sisi .ni mtumishi wetu mwaminifu ,mkweli na mnyenyekevu wa hali ya juu sana .tusikubali na tusikae kimya tuonapo wachache wenye maslahi binafsi wanamshambulia kwa lugha za matusi na kudhalilisha na wanataka kumkwamisha na kuwa kikwazo katika kututumikia watanzania.
Wakati wote tuwe upande wa Rais wetu kwa kuwa sote tunajionea namna anavyofanya kazi kwa ajili yetu.tunapoona tuna neno au ushauri wa vipi angefanya katika jambo fulani, basi tumshauri kwa lugha za staha,adabu ,hekima na uungwana .kwa sababu Rais wetu ni Mama msikivu,mpole, mnyenyekevu,muungwana na mwenye upendo wa hali ya juu sana kwetu watanzania.ndio maana amekuwa akitushirikisha na kutuweka wazi kwa kila hatua au maamuzi ambayo serikali yetu inafanya na kwanini inafanya.
Hii ndio sababu katika awamu hii wengi wa watanzania tunakuwa tunaelewa na kufahamu kila kitu kinachokuwa kinaendelea katika serikali yetu juu ya masuala mbalimbali.kwa sababu ni serikali ya UWAZI Na UKWELI. Ni serikali inayoendeshwa na kufanya mambo yake hadharani na siyo gizani. Tunataka nini tena Watanzania kwa mama huyu mzalendo wa kweli? Afanye nini tena cha ziada ndugu zangu? Mama ni mwanadamu lakini katika uwanadanamu wake amejitahidi katika kila njia kuhakikisha ya kuwa kila mmoja wetu anajivunia kuzaliwa Tanzania na kuwa mtanzania na kujiona anathamani kubwa katika Taifa hili.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Unamtisha nani? Atapita kwa kura zote za ndioUsisahau kumwambia pia asithubutu asilani kunajisi uchaguzi zote yasije yakamkuta yale ya mwebda kwa maana Mungu ameshachukizwa na haya yanayoendelea HAKI HAKI!..!.
Ni kweli anatupenda atupe jengo zuri la kimataifa uwanja wa ndege atakuwa ametengeza kielelezo cha kupigiwa kura nyingi.Mwanza wanapendwa sana na Mama nina hakika hakuna sehemu amekwenda mara nyungi kama Mwanza!