Rais Samia kuitikisa Mwanza Tarehe 30 Januari

Jifunze kuandika kwanza ndio uanze kuchangia hoja.
Ujumbe umekufikia wewe chawa usiye kua na akili ambaye huna uchungu na Uzalendo wa Taifa lako, uchawa wenu unayarudisha maendeleo ya Taifa nyuma.

Lakini amini ipo siku upumbavu huu mnaoufanya kwa ajili ya familia zenu zishibe, ipo siku utalipwa na machozi ya Masikini wanao lala njaa (walalahoi) na watoto wao kushindwa kupata Elimu bora.
Endeleeni tu kushibisha familia zenu kwa kazi haramu ambazo ni chukizo kwa Mungu.
 
Maisha mazuri na bora yapo katika juhudi za mikono yake,kwa kufanya kazi kwa juhudi , bidii na maarifa. Maendeleo yapo katika kujituma kwako katika kazi na kufanya kazi bila kusubiri kusukumwa au kulazimishwa. Ni lazima kukubali kuteseka ilinuoate maisha mazuri na bora.

Kazi ya serikali ni kukuwekea mazingira mazuri na wezeshi kwa wewe kutumia fursa kujikwamua kiuchumi na kuondokana na umaskini.ndio maana leo serikali inatoa takribani billion mia mbili hamsini kama Ruzuku katika kilimo, ili mbolea ipatikane kwa bei ambayo mkulima anaimudu.

Ndio maana leo serikali inatoa Elimu bure hadi kidato cha sita na mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu wenye sifa kusudi kila mtoto hata aliyetoka familia masikini apate kutimiza ndoto zake za kielimu.

Ndio maana leo serikali imesogeza huduma za kijamii karibu ya mwananchi ili watu wasitembee umbali mrefu kutafuta huduma na badala yake watumie muda huo kufanya shughuli za maendeleo na kukuza kipato chao.
 
Hapa umeongea ukweli, ila naamini hizi Juhudi ungekuwa nazo sidhani kama ungelikua humu kusifia ujinga na kuyaficha maovu ya serikari katili hii isiyo jali maslahi ya Wananchi.

Hizo zingine zote ni porojo tu za wanasiasa kuonekana wanajali lakin hakuna kitu chochote kinachofanyika.

Sijui hizo huduma za kijamii unazo zungumzi ni zipi, kama juzi tu hapa Mama mjamzito kafariki kwa kukosa hela ya matibabu.

Wanafunzi vyuoni hawana mikopo, ada M 1.5 unampa Mkopo laki 2 Alfu unatoka hapo unakuja kujisifia tumetoa Mkopo, stupid 🚮

Hiyo Ruzuku serikari inatoa inafuatilia je zinawafikia wananchi, jibu ni hapana. Ni vionjo tu na porojo kama nilivyo sema hapo awali.

Mkuu kama kweli upo seriously nakupa assignment jaribu kuzunguka huko vijijin au tembelea Mikoa mbali² uone Hali halisi ya Wananchi, nakuapia kama utaendelea na huu uchawa wako wewe ni mnyama na Muuaji na hufai katka Jamii.
Ni vile tu mmezaliww huko Mnjini ndo maana hamuyajui maisha ya watanzania kwa vile mnapewa vihela vidogo basi Kila kitu ni kusifia tu pasipo kufikiria side effects katka Jamii.

Poleni sana, Mungu awafungue fahamu.
 
Mimi nipo vijijini na naona mchango mkubwa wa serikali yetu katika kutuinua kiuchumi wakulima .mfano katika suala la pembejeo hasa mbolea kila mmoja wetu hasa sisi wakulima tunaona namna Ruzuku ya serikali ikivyosaidia kushusha bei ya mbolea na kutuwezesha kuweza kumudu gharama zake.

Suala la mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu ningependa kukwambia fuatilia vizuri uone namna wanafunzi walivyonufaika na mikopo .uyakachogundua ni kuwa serikali imejitahidi sana kuwapatia mikopo kwa asilimia nyingi na siyo hiyo laki mbili kati ya million moja na pointi uliyoandika wewe.
 
Yaani mnajipaga matumaini hewa nyie hadi huruma. Ndio maana Mbowe anawaburuza huko kama manyumbu. Aliwaambia atastaafu 2015 endapo CHADEMA itashindwa uchaguzi ila hadi saizi anadunda tu na kuwabadilishia gia tu nyumbu wake.
We endelea kuwekeza kwenye Uchawa akili yako ndo imegota HAPO
 
Sawa sawa

Umeme uwepo huko tu watu wamfatilie vizuri

Ova
 
Mimi nipo vijijini na naona mchango mkubwa wa serikali yetu katika kutuinua kiuchumi wakulima .mfano katika suala la pembejeo hasa mbolea kila mmoja wetu hasa sisi wakulima tunaona namna Ruzuku ya serikali ikivyosaidia kushusha bei ya mbolea na kutuwezesha kuweza kumudu gharama zake.

Suala la mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu ningependa kukwambia fuatilia vizuri uone namna wanafunzi walivyonufaika na mikopo .uyakachogundua ni kuwa serikali imejitahidi sana kuwapatia mikopo kwa asilimia nyingi na siyo hiyo laki mbili kati ya million moja na pointi uliyoandika wewe.
Unaongea na vitu vya Uongo unafaidika Nini na uongo huu Mkuu?
 
Back
Top Bottom