Rais Samia kuitikisa Mwanza Tarehe 30 Januari

Hakuna mahali na ukanda ambao unaweza kusema Rais Samia hakubaliki. Maana kila ukanda utakaokwenda unakuta wananchi wakimzungumzia vyema sana Mheshimiwa Rais na kusubili sana muda ufike ili waje wampe kura zao za ndio kwa kishindo.
Hahahahahaaaaa
 
Atashinda yeye na CCM.maana yeye anawakilisha na kupeperusha bendera ya CCM.
Sema tz hakuna Chama ambacho kiko serious coz wapinzani wote ni mamruki watu wa njaa. Ila kikitokea chama ambacho kiposerious kabisa haki nakuapia hangaya hatoboi 2025 kama akigombea
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nuru ya wanyonge, nyota ya matumaini anatarajiwa kuitikisa na kuliteka jiji la Mwanza Tarehe 30 januari.

Kwa hiyo wana Mwanza kaeni mkao wa kumpokea Mama yetu na Shujaa Wetu ambaye wakati wote ametuongoza kwa ujasiri ,uimara , umadhubuti na uhodari wa hali juu sana.ametimiza ile kauli yake ya kwamba tutizame mbele kwa matumaini na siyo hofu.

Kwa kweli na kwa hakika katika mikono ya Rais Samia kila mtazania amejaa matumaini tele katika imani ya kutimiza ndoto zake. Ni kweli ndugu zangu nakubali kuwa changamoto huwa hazikosekani kwa nchi yoyote ile.lakini Watanzania wenzangu kwa macho yetu tunajionea juhudi kubwa sana na zenye dhamira njema zinazofanywa na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa katika kutatua changamoto mbalimbali.

Kikubwa tuendelee kumuunga mkono,kumpa ushirikiano na kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Mama yetu ni binadamu kama tulivyo sisi .ni mtumishi wetu mwaminifu ,mkweli na mnyenyekevu wa hali ya juu sana .tusikubali na tusikae kimya tuonapo wachache wenye maslahi binafsi wanamshambulia kwa lugha za matusi na kudhalilisha na wanataka kumkwamisha na kuwa kikwazo katika kututumikia watanzania.

Wakati wote tuwe upande wa Rais wetu kwa kuwa sote tunajionea namna anavyofanya kazi kwa ajili yetu.tunapoona tuna neno au ushauri wa vipi angefanya katika jambo fulani, basi tumshauri kwa lugha za staha,adabu ,hekima na uungwana .kwa kwa sababu Rais wetu ni Mama msikivu,mpole, mnyenyekevu,muungwana na mwenye upendo wa hali ya juu sana kwetu watanzania.ndio maana amekuwa akitushirikisha na kutuweka wazi kwa kila hatua au maamuzi ambayo serikali yetu inafanya na kwanini inafanya.

Hii ndio sababu katika awamu hii wengi wa watanzania tunakuwa tunaelewa na kufahamu kila kitu kinachokuwa kinaendelea katika serikali yetu juu ya masuala mbalimbali.kwa sababu ni serikali ya UWAZI Na UKWELI. Ni serikali inayoendeshwa na kufanya mambo yake hadharani na siyo gizani. Tunataka nini tena kwa mama huyu mzalendo wa kweli? Afanye nini tena cha ziada ndugu zangu? Mama ni mwanadamu lakini katika uwanadanamu wake amejitahidi katika kila njia kuhakikisha ya kuwa kila mmoja wetu anajivunia kuzaliwa Tanzania na kuwa mtanzania na kujiona anathamani kubwa katika Taifa hili.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Jinga na zombie la nchi,taarifa ikufikie atazomewa kama mwizi. Wewe pamoja na matapeli wenzio mungu achukue roho zenu na awatie kiberiti .shetani wewe
 
Jengo la uwanja wa ndege mkoa wampe taarifa sahihi. Bado mkataba tunadanganywa. tunasononeka sana
 
Kiguu na njia Mwanza kwa wachaga ataenda lini, kwa wanyakyusa jeee?
Acha ukabila na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais wetu. Ningependa leo kukwambia ya kuwa kubali tu kuwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ni Mheshimiwa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan. Huyo ndiye Rais wetu mkuu wa nchi, kiongozi wa serikali na Amiri jeshi mkuu. Kwa hiyo utake usitake huyo ndiye utaendelea kumuona akiongoza Taifa letu .

Acha chuki kwa Mheshimiwa Rais .uwe na adabu na heshima kwa Mheshimiwa Rais .ukubali kuwa uongozi unatoka kwa Mungu. Kubali kuwa kila mtu na wakati wake na uongozi ni dhamana na wakipita tu.

Kuwa mtu wa upendo kwa watu .acha chuki kabisa ndugu. acha roho mbaya. Kama kuna alipokesea basi kusoa kwa hoja na heshima. Lakini siyo kama ulivyo wewe ambapo kila siku unaonyesha namna kifua chako kilivyojaa hasira na chuki kwa Mheshimiwa Rais wetu. Tupendane Watanzania,haya madaraka na vyeo ni vya kupita tu.kwa hiyo usiwe na chuki kwa mtu kisa tu ulitaka fulani ndiye awe hapo alipo huyo unayemchukia.
 
MATARAJIO YATAKAYO TOKEA ZIARA HII YA KIHISTORIA KUBATIZWA AZIMIO LA MWANZA 2024

Mhimili wa Bunge tarehe 30 January 2024 Bunge la Dodoma kujadili miswada iliyokataliwa na umma.

Mhimili wa dola (state) kupitia kiongozi mkuu, utakuwa Mwanza kuwahi kutangaza ipo sikivu kwa kutumia 4Rs na kuamua kuondoa miswada ya sheria za uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi kutokana na hoja mpya zilizoletwa mbele ya kamati ya Bunge, mkutano wa Vyama vya siasa na wadau wa demokrasia bila kusahau madai yaliyotolewa kupitia maandamano ya tarehe 24 January 2024

Wananchi watashangilia sana na hivyo wahafidhina waliokuwa wanamtia hofu rais kuwa maandamano yatageuka kuleta uvunjifu au kupindua nchi wataanguka kwa kuishiwa nguvu.

Kutokana na msimamo wa kiongozi wao mkuu wa CCM kuona umuhimu wa madai ya raia wengi walio na mawazo tofauti na ya wanaojiita msimamo mkali wa kimapinduzi bila kusahau machawa wa kisiasa waliokuwa wamejianda kwa kila hila kulipeleka jahazi la nchi na nahodha wake rais mrama akwae mwamba na chombo kivunjike vipande vipande ..

AZIMIO LA MWANZA JANUARY 30 litaasisiwa na kuwa moja ya maazimio ya kihistoria ktk taifa letu kwa miaka 200 ijayo huku legacy ya mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan ikikumbukwa kuwa na kiongozi shupavu, msikivu asiye na woga aliyeliivusha taifa toka mikononi kwa wachache walinda maslahi ya vyeo vyao badala ya maslahi mapana ya taifa letu. .
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nuru ya wanyonge, nyota ya matumaini anatarajiwa kuitikisa na kuliteka jiji la Mwanza Tarehe 30 januari.

Kwa hiyo wana Mwanza kaeni mkao wa kumpokea Mama yetu na Shujaa Wetu ambaye wakati wote ametuongoza kwa ujasiri ,uimara , umadhubuti na uhodari wa hali juu sana.ametimiza ile kauli yake ya kwamba tutizame mbele kwa matumaini na siyo hofu.

Kwa kweli na kwa hakika katika mikono ya Rais Samia kila mtazania amejaa matumaini tele katika imani ya kutimiza ndoto zake. Ni kweli ndugu zangu nakubali kuwa changamoto huwa hazikosekani kwa nchi yoyote ile.lakini Watanzania wenzangu kwa macho yetu tunajionea juhudi kubwa sana na zenye dhamira njema zinazofanywa na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa katika kutatua changamoto mbalimbali.

Kikubwa tuendelee kumuunga mkono,kumpa ushirikiano na kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Mama yetu ni binadamu kama tulivyo sisi .ni mtumishi wetu mwaminifu ,mkweli na mnyenyekevu wa hali ya juu sana .tusikubali na tusikae kimya tuonapo wachache wenye maslahi binafsi wanamshambulia kwa lugha za matusi na kudhalilisha na wanataka kumkwamisha na kuwa kikwazo katika kututumikia watanzania.

Wakati wote tuwe upande wa Rais wetu kwa kuwa sote tunajionea namna anavyofanya kazi kwa ajili yetu.tunapoona tuna neno au ushauri wa vipi angefanya katika jambo fulani, basi tumshauri kwa lugha za staha,adabu ,hekima na uungwana .kwa kwa sababu Rais wetu ni Mama msikivu,mpole, mnyenyekevu,muungwana na mwenye upendo wa hali ya juu sana kwetu watanzania.ndio maana amekuwa akitushirikisha na kutuweka wazi kwa kila hatua au maamuzi ambayo serikali yetu inafanya na kwanini inafanya.

Hii ndio sababu katika awamu hii wengi wa watanzania tunakuwa tunaelewa na kufahamu kila kitu kinachokuwa kinaendelea katika serikali yetu juu ya masuala mbalimbali.kwa sababu ni serikali ya UWAZI Na UKWELI. Ni serikali inayoendeshwa na kufanya mambo yake hadharani na siyo gizani. Tunataka nini tena kwa mama huyu mzalendo wa kweli? Afanye nini tena cha ziada ndugu zangu? Mama ni mwanadamu lakini katika uwanadanamu wake amejitahidi katika kila njia kuhakikisha ya kuwa kila mmoja wetu anajivunia kuzaliwa Tanzania na kuwa mtanzania na kujiona anathamani kubwa katika Taifa hili.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kujikomba kote na kuweka namba ya simu lakini uteuzi unapita pembeni, badala yake watapewa alitoka Chadema.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Jinga na zombie la nchi,taarifa ikufikie atazomewa kama mwizi. Wewe pamoja na matapeli wenzio mungu achukue roho zenu na awatie kiberiti .shetani wewe
Rais wetu anaheshimika sana na kupendwa sana na watanzania .popote aendapo ni lazima apokelewe kwa kishindo. Subiri siku hiyo ifike uone namna ambavyo mwanza itafurika na kumiminika maelfu ya wananchi kwa ajili ya kumlaki Mheshimiwa Rais wetu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nuru ya wanyonge, nyota ya matumaini anatarajiwa kuitikisa na kuliteka jiji la Mwanza Tarehe 30 januari.

Kwa hiyo wana Mwanza kaeni mkao wa kumpokea Mama yetu na Shujaa Wetu ambaye wakati wote ametuongoza kwa ujasiri ,uimara , umadhubuti na uhodari wa hali juu sana.ametimiza ile kauli yake ya kwamba tutizame mbele kwa matumaini na siyo hofu.

Kwa kweli na kwa hakika katika mikono ya Rais Samia kila mtazania amejaa matumaini tele katika imani ya kutimiza ndoto zake. Ni kweli ndugu zangu nakubali kuwa changamoto huwa hazikosekani kwa nchi yoyote ile.lakini Watanzania wenzangu kwa macho yetu tunajionea juhudi kubwa sana na zenye dhamira njema zinazofanywa na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa katika kutatua changamoto mbalimbali.

Kikubwa tuendelee kumuunga mkono,kumpa ushirikiano na kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Mama yetu ni binadamu kama tulivyo sisi .ni mtumishi wetu mwaminifu ,mkweli na mnyenyekevu wa hali ya juu sana .tusikubali na tusikae kimya tuonapo wachache wenye maslahi binafsi wanamshambulia kwa lugha za matusi na kudhalilisha na wanataka kumkwamisha na kuwa kikwazo katika kututumikia watanzania.

Wakati wote tuwe upande wa Rais wetu kwa kuwa sote tunajionea namna anavyofanya kazi kwa ajili yetu.tunapoona tuna neno au ushauri wa vipi angefanya katika jambo fulani, basi tumshauri kwa lugha za staha,adabu ,hekima na uungwana .kwa kwa sababu Rais wetu ni Mama msikivu,mpole, mnyenyekevu,muungwana na mwenye upendo wa hali ya juu sana kwetu watanzania.ndio maana amekuwa akitushirikisha na kutuweka wazi kwa kila hatua au maamuzi ambayo serikali yetu inafanya na kwanini inafanya.

Hii ndio sababu katika awamu hii wengi wa watanzania tunakuwa tunaelewa na kufahamu kila kitu kinachokuwa kinaendelea katika serikali yetu juu ya masuala mbalimbali.kwa sababu ni serikali ya UWAZI Na UKWELI. Ni serikali inayoendeshwa na kufanya mambo yake hadharani na siyo gizani. Tunataka nini tena kwa mama huyu mzalendo wa kweli? Afanye nini tena cha ziada ndugu zangu? Mama ni mwanadamu lakini katika uwanadanamu wake amejitahidi katika kila njia kuhakikisha ya kuwa kila mmoja wetu anajivunia kuzaliwa Tanzania na kuwa mtanzania na kujiona anathamani kubwa katika Taifa hili.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Unaliaibisha sana jinalako la pili embu simamia hoja za kimaendeleo Acha kusifia-sifia binadamu wenzio Kila siku.
Usiwe namambo yakidemu kusifia madanga... unaboa
 
Unaliaibisha sana jinalako la pili embu simamia hoja za kimaendeleo Acha kusifika sifia binadamu wenzio Kila siku... Usiwe namambo yakidemu unaboa
Kwani umeelewa andiko langu linahusu nini. Kwa hiyo kutoa na kukupa habari ya ziara ya Mheshimiwa Rais mkoani Mwanza ndio kusifia .pia tangia lini imekuwa jinai au kosa kumpongeza mtu na kiongozi anayefanya vizuri katika kutekeleza majukumu yake. Kwa hiyo unataka mtu akifanya vizuri asipongezwe. Unataka asiingie mkono? Unataka asipewe ushirikiano?

Pia kama kuna hoja unaona kuwa sijaziandika hapa jukwaani kwanini wewe usiziandike. Kwani wewe nani kakuzuia kuziandika.
 
Sema tz hakuna Chama ambacho kiko serious coz wapinzani wote ni mamruki watu wa njaa. Ila kikitokea chama ambacho kiposerious kabisa haki nakuapia hangaya hatoboi 2025 kama akigombea
Hakuna mwenye ubavu wala uwezo wa kushindana na Rais Samia katika Sanduku la kura.kama unataka basi hata wewe kachukue Fomu ya Urais kupitia chama chochote cha siasa ili ugombee urais .halafu uone namna utakavyoambulia na kuvuna aibu ya karne kwa kudondokea pua.
 
Kwani umeelewa andiko langu linahusu nini. Kwa hiyo kutoa na kukupa habari ya ziara ya Mheshimiwa Rais mkoani Mwanza ndio kusifia .pia tangia lini imekuwa jinai au kosa kumpongeza mtu na kiongozi anayefanya vizuri katika kutekeleza majukumu yake. Kwa hiyo unataka mtu akifanya vizuri asipongezwe. Unataka asiingie mkono? Unataka asipewe ushirikiano?

Pia kama kuna hoja unaona kuwa sijaziandika hapa jukwaani kwanini wewe usiziandike. Kwani wewe nani kakuzuia kuziandika.
Unatujazia uzwazwa navihoja vyakipambe humu,hili jukwaa ni international... Majukwaa ya wasomi nchi zinazojitambua hukuti hoja zakujipendekeza kitoto kama hizi zako. Ukiweka kitu humu nichetu sote kuchangia sasa weka vyamaana au tuliza niaje!!
 
Tunataka umeme na bei ya bidhaa kushuka, hiyo kutikisa mwanza inanihusu mimi mtu wa Tanga, Acha uchawa!!
 
Hakuna mwenye ubavu wala uwezo wa kushindana na Rais Samia katika Sanduku la kura.kama unataka basi hata wewe kachukue Fomu ya Urais kupitia chama chochote cha siasa ili ugombee urais .halafu uone namna utakavyoambulia na kuvuna aibu ya karne kwa kudondokea pua.
Ila dalili zinaonyesha hangaya akigombea afu akapita lazima machafuko yatakuwapo believe me.
 
Hakuna mwenye ubavu wala uwezo wa kushindana na Rais Samia katika Sanduku la kura.kama unataka basi hata wewe kachukue Fomu ya Urais kupitia chama chochote cha siasa ili ugombee urais .halafu uone namna utakavyoambulia na kuvuna aibu ya karne kwa kudondokea pua.
Mnajivunia wizi tu!! Hamna lolote, kwani ccm imewahi kushinda chaguzi zipi kwa halali??? Mpo kwenye mamlaka kwa hisani ya polisi na tume ya uchaguzi ambayo ni yenu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nuru ya wanyonge, nyota ya matumaini anatarajiwa kuitikisa na kuliteka jiji la Mwanza Tarehe 30 januari.

Kwa hiyo wana Mwanza kaeni mkao wa kumpokea Mama yetu na Shujaa Wetu ambaye wakati wote ametuongoza kwa ujasiri ,uimara , umadhubuti na uhodari wa hali juu sana.ametimiza ile kauli yake ya kwamba tutizame mbele kwa matumaini na siyo hofu.

Kwa kweli na kwa hakika katika mikono ya Rais Samia kila mtazania amejaa matumaini tele katika imani ya kutimiza ndoto zake. Ni kweli ndugu zangu nakubali kuwa changamoto huwa hazikosekani kwa nchi yoyote ile.lakini Watanzania wenzangu kwa macho yetu tunajionea juhudi kubwa sana na zenye dhamira njema zinazofanywa na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa katika kutatua changamoto mbalimbali.

Kikubwa tuendelee kumuunga mkono,kumpa ushirikiano na kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Mama yetu ni binadamu kama tulivyo sisi .ni mtumishi wetu mwaminifu ,mkweli na mnyenyekevu wa hali ya juu sana .tusikubali na tusikae kimya tuonapo wachache wenye maslahi binafsi wanamshambulia kwa lugha za matusi na kudhalilisha na wanataka kumkwamisha na kuwa kikwazo katika kututumikia watanzania.

Wakati wote tuwe upande wa Rais wetu kwa kuwa sote tunajionea namna anavyofanya kazi kwa ajili yetu.tunapoona tuna neno au ushauri wa vipi angefanya katika jambo fulani, basi tumshauri kwa lugha za staha,adabu ,hekima na uungwana .kwa kwa sababu Rais wetu ni Mama msikivu,mpole, mnyenyekevu,muungwana na mwenye upendo wa hali ya juu sana kwetu watanzania.ndio maana amekuwa akitushirikisha na kutuweka wazi kwa kila hatua au maamuzi ambayo serikali yetu inafanya na kwanini inafanya.

Hii ndio sababu katika awamu hii wengi wa watanzania tunakuwa tunaelewa na kufahamu kila kitu kinachokuwa kinaendelea katika serikali yetu juu ya masuala mbalimbali.kwa sababu ni serikali ya UWAZI Na UKWELI. Ni serikali inayoendeshwa na kufanya mambo yake hadharani na siyo gizani. Tunataka nini tena kwa mama huyu mzalendo wa kweli? Afanye nini tena cha ziada ndugu zangu? Mama ni mwanadamu lakini katika uwanadanamu wake amejitahidi katika kila njia kuhakikisha ya kuwa kila mmoja wetu anajivunia kuzaliwa Tanzania na kuwa mtanzania na kujiona anathamani kubwa katika Taifa hili.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Naona anakuja kupima upepo/ kazi aliyompa MAKONDA kama imefanikiwa,maana wana mwanza hawataki kumskia wala kumuona
 
Back
Top Bottom