Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,568
UsitutisheJiangalie Mdomo usije ukaponza kichwa....wewe unadhani yeye anafurahia haya yanayofanyika?
Sawa mkuuUsitutishe
Mwanamke hana uwezo wa kuongoza nchi na imedhihirika kupitia huyu mama hawezi chochote hafai kuwa rais
Hana maamuzi wakati yeye ndiyo muamuzi top
Anaongea kama mkuu wa wilaya vile
Kauli zake zinashangaza sana
Na zinaonyesha kwamba hawezi chochote
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ana mamlaka kamili ya kuwajibisha hao unaosema wanamnyima furahaSawa mkuu
Hapo unaungana mojakwamoja na Rahisi wa mawe na madarajaTusichoshane!
Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.
Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito
“Mama Tupishe”
Na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa; kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!
Nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI
Mama amerudisha mshikamano wa Kitaifa uliovurugwa, watu wa CCMwalifanywa grade A, upinzani grade B, mama amerudisha usawa na furaha iliyopotea.Nimshauri tu Rais asicheke na majizi, yanaiba halafu yanaandika mabus majina ya wake zao.Tusichoshane!
Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.
Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito
“Mama Tupishe”
Na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa; kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!
Nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI
Vita aliyopigana maghufuli siyo rahsi kwa raisi yyte kutia maguuMama tatizo lake kubwa aliamini Dkt Magufuli hakuwa kiongozi mzuri, yeye alijiona atamzidi Dkt Magufuli, ndiyo maana ziara yake kwanza aliporejea eti aliandaliwa press akiwa na bashasha akatamka nchi inafunguliwa nadhani ili kuwa moja ya kauli mbaya kabisa given yeye na Dkt Magufuli walikuwa kitu kimoja. Na kibaya kauli yke ya kusema eti awamu ya Dkt Magufuli wafanya kazi walikuwa na nidhamu ya uoga ndiyo kabisa kila mtu sasa kwa serikali wengi ni wezi. Wanachokifanya kama Rais Dkt Samia hajui cha kwanza kabisa ni kuharibu mifumo iliyopo, nimpe mfano, January alipoingia TANESCO cha kwanza alihakikisha anaharibu mifumo na kulaumu kila kitu na kweli kafanikiwa sana na sasa anaiba kiulani. Ukija hata kwenye baadhi ya halmashauri ma DT au MT baada ya Dkt Magufuli kufariki wakaharibu mifumo ya ukusanyaji wa mapato kiasi kwamba watu wanasema eti rais Dkt Samia amelekeza hela zikusanywe kwenda kwake zote za kampeni 2025. Yaani kwa ufupi angejua wanayo mfanyia hakika angelia sana na kumuomba radhi marahemu Dkt Magufuli maana alijitahidi kubana wizi.
Hata JK cha mtoto kudadekNi Rais dhaifu kuwahi kutokea duniani
Chawa wake wakikusikia sasaNa kibaya zaidi anajua kwamba hana hata robo ya uwezo wa kuwa rais na wananchi hawampendi katu lakini kang'ang'ania madaraka kama ruba na ngozi ama chawa na uchafu
Tusichoshane!
Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.
Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito
“Mama Tupishe”
Na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa; kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!
Nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI
Member since April 6 ??????
Ili aingie mamako? Shwain
Basi pm awe rais afu yeye astep chiniMama anafanya kazi nzuri sana , bigup kwake , angemongezea meno prime minister , mana usimamizi ni asili ya mwanaume ,
Mama ACHA wakuone kama hufai lkn ukweli ni kwamba your the best ever ,umeliponya taifa huu wizi ni asili ya chama chako ukipingana nao sana utapotea wewe kula na vipofu lkn jitahidi sana usituache bila katiba Mpya utatusaidia sana watanzania, umezungukwa na wezi tupu amini hilo.
CAG alivyotoa ripoti yake ya 2020/2021 waliimba sana,ooh Jiwe alikuwa mwizi sana.Sasa ripoti ya 2021/2022 mambo hadharani, upigaji wa kasi 4G ulitamalaki chini ya Mama Maridhiano.Mama tatizo lake kubwa aliamini Dkt Magufuli hakuwa kiongozi mzuri, yeye alijiona atamzidi Dkt Magufuli, ndiyo maana ziara yake kwanza aliporejea eti aliandaliwa press akiwa na bashasha akatamka nchi inafunguliwa nadhani ili kuwa moja ya kauli mbaya kabisa given yeye na Dkt Magufuli walikuwa kitu kimoja. Na kibaya kauli yke ya kusema eti awamu ya Dkt Magufuli wafanya kazi walikuwa na nidhamu ya uoga ndiyo kabisa kila mtu sasa kwa serikali wengi ni wezi. Wanachokifanya kama Rais Dkt Samia hajui cha kwanza kabisa ni kuharibu mifumo iliyopo, nimpe mfano, January alipoingia TANESCO cha kwanza alihakikisha anaharibu mifumo na kulaumu kila kitu na kweli kafanikiwa sana na sasa anaiba kiulani. Ukija hata kwenye baadhi ya halmashauri ma DT au MT baada ya Dkt Magufuli kufariki wakaharibu mifumo ya ukusanyaji wa mapato kiasi kwamba watu wanasema eti rais Dkt Samia amelekeza hela zikusanywe kwenda kwake zote za kampeni 2025. Yaani kwa ufupi angejua wanayo mfanyia hakika angelia sana na kumuomba radhi marahemu Dkt Magufuli maana alijitahidi kubana wizi.