Haya yote anayoyafanya samia kwa kuiangamiza Tanganyika kwa kisingizio cha Muungano ni kwa ridhaa ya watanzania wanaounda CCM. Wanajali maslahi yao na kusahau Tanganyka yao.
Jana Lisu amasema wazi kuwa katiba ya Zanzibar inatambua uwepo wa Mzanzibari na rasimali zake za Zanzibar.
Katiba ya Zanzibar: Sehemu ya Pili
Watu
6.(1) Kutakuwa na Mzanzibari ambaye upatikanaji wake, upoteaji
wake na urudishwaji wake atakuwa kama alivyoainishwa katika Sheria
iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.
(2) Kila Mzanzibari, kwa misingi ya Katiba hii, ataweza kufaidi
haki na fursa zote anazostahiki Mzanzibari, na atapaswa kutekeleza
wajibu, majukumu na dhamana za Mzanzibari kama ilivyo kwenye
Katiba hii au kwenye Sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi
SWALI:
Watanganyika tujiuize ni katiba ipi inamtambua uwepo wa Mtanganyika na rasilimali zake?
Kwa kisingizio cha Muungano, Samia anaimaliza Tanganyika kwa kuiuza kwa Waarabu na majitu kama Nape yanapiga kelele za kijinga kutetea kuangamizwa kwa watangayika.
LISU IS PERFECTLY RIGHT NA WALA SI UBAGUZI. KAMA UBAGUZI, BASI KATIBA YA ZANZIBAR INDIYO YENYE MISINGI YA UBAGUZI KWA KUMTAMBUA MZANZIBARI NA KUTOMTAMBUA MTANGANYIKA
MWISHO: NAPE NA WENZAKO CCM, MNASAHAU KUWA NYINYI NI WATANGANYIKA, NA KESHO MTAJIBU KWA KUISALITIT TANGANYIKA