muungano tanganyika zanzibar

Tanzania, officially the United Republic of Tanzania, is a country in East Africa within the African Great Lakes region. It is bordered by Uganda to the north; Kenya to the northeast; the Indian Ocean to the east; Mozambique and Malawi to the south; Zambia to the southwest; and Rwanda, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo to the west. Mount Kilimanjaro, Africa's highest mountain, is in northeastern Tanzania. According to the 2022 national census, Tanzania has a population of nearly 62 million, making it the most populous country located entirely south of the equator.
Many important hominid fossils have been found in Tanzania, such as 6-million-year-old Pliocene hominid fossils. In the Stone and Bronze Age, prehistoric migrations into Tanzania included Southern Cushitic speakers who moved south from present-day Ethiopia; Eastern Cushitic people who moved into Tanzania from north of Lake Turkana about 2,000 and 4,000 years ago; and the Southern Nilotes, including the Datoog, who originated from the present-day South Sudan–Ethiopia border region between 2,900 and 2,400 years ago.: page 18  These movements took place at about the same time as the settlement of the Mashariki Bantu from West Africa in the Lake Victoria and Lake Tanganyika areas. In the late 19th century, the mainland came under German rule as German East Africa, and this was followed by British rule after World War I when it was governed as Tanganyika, with the Zanzibar Archipelago remaining a separate colonial jurisdiction. Following their respective independence in 1961 and 1963, the two entities merged in 1964 to form the United Republic of Tanzania. Tanganyika joined the British Commonwealth and Tanzania remains a member of the Commonwealth as a unified republic.
Today the country is a presidential constitutional republic with the federal capital located in Government City, Dodoma; the former capital, Dar es Salaam, retains most government offices and is the country's largest city, principal port, and leading commercial centre. Tanzania is a de facto one-party state with the democratic socialist Chama Cha Mapinduzi party in power. The country has not experienced major internal strife since independence and is seen as one of the safest and most politically stable on the continent. Tanzania's population comprises about 120 ethnic, linguistic, and religious groups. Christianity is the largest religion in Tanzania, with substantial Muslim and Animist minorities. Over 100 languages are spoken in Tanzania, making it the most linguistically diverse country in East Africa; the country does not have a de jure official language, although the national language is Swahili. English is used in foreign trade, in diplomacy, in higher courts, and as a medium of instruction in secondary and higher education, while Arabic is spoken in Zanzibar.
Tanzania is mountainous and densely forested in the north-east, where Mount Kilimanjaro, the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain above sea level in the world, is located. Three of Africa's Great Lakes are partly within Tanzania. To the north and west lie Lake Victoria, Africa's largest lake, and Lake Tanganyika, the continent's deepest lake, known for its unique species of fish. To the south lies Lake Malawi. The eastern shore is hot and humid, with the Zanzibar Archipelago just offshore. The Menai Bay Conservation Area is Zanzibar's largest marine protected area. The Kalambo Falls, located on the Kalambo River at the Zambian border, is the second-highest uninterrupted waterfall in Africa. Tanzania is one of the most visited tourist destinations for safaris.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Zanzibar Hamad: Anayechonganisha Muungano atakufa na atazikwa kwa chuki hiyo

    Mbunge wa Jimbo la Ole Zanzibar, Mhandisi Said Salim Hamad, amesema kuwa mtu yeyote anayetoa maneno ya uchonganishi dhidi ya Muungano, mtu huyo anachuki binafsi na atakufa na kuzikwa kwasababu ya chuki hiyo.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nasra: Wazanzibari kudai haki yao sio ubaguzi

    Mwakilishi wa Viti Maalum kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Dkt. Nasra Nassor amesema kuna haja ya vijana wa Zanzibar na Tanganyika kujua haki zao katika masuala ya Muungano. Dkt. Nasra alizungumza hayo Juni 15, 2026, wakati akichangia makadirio ya Bajeti Kuu ya Serikali ya Zanzibar ndani ya...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mohamed Ali: Kama kuwatetea vijana wa Zanzibar kutavunja Muungano basi acha uvunjike

    Mambo yanazidi kupamba moto. ============ Mwakilishi wa wananchi Jimbo la Ziwani, Mohamed Ali Salim akiwa katika uchangiaji wa bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Chukwani Unguja. "Kama kuwatetea vijana wetu kupata ajira ndio chanzo na kero ya muungano kwamba eti tunahatarisha...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bi Chum Kombo: Wanawake wa mkoa wa kaskazini Pemba tutaulinda muungano kwa gharama yoyote

    Mwakilishi wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe. Bi Chum Kombo Khamis amesema kuwa kwa niaba ya wanawake wa mkoa huo, wanaahidi kuilinda na kuihudumisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa gharama yoyote Kwa niaba ya wanawake wa mkoa wa kaskazini Pemba niseme kwamba naahidi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Akutukanae, hakuchagulii tusi

    Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi inayoendelea nchini kuhusu Utanganyika na Uzanzibar kiasi kwamba sasa mijadala hiyo imeingia kwenye Muungano wenyewe! Madai ya mwanzo kabisa ilikuwa kutaka muundo wa Muungano wetu uwe wa Shirikisho (Federal Union) Serikali 3, badala ya huu uliopo wa NCHI...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu wa mwanzo Tanzania ulikuwa wapi? Tanganyika au Zanzibar?

    Kihistoria, ustaarabu wa mapema zaidi katika eneo la Tanzania ulianza zaidi pwani, hasa Zanzibar na miji ya pwani ya Bahari ya Hindi. Zanzibar Zanzibar ilikuwa sehemu ya: Ustaarabu wa Waswahili (Swahili Civilization) Biashara ya kimataifa (Waarabu, Waajemi, Wahindi, Wazungu) Miji ya mawe (Stone...
  7. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Muungano wa changu changu, ila chako changu hauwezi kudumu

    Moja ya mambo utu uzima hutufunza ni kuwa hakuna wa muhimu sana kwenye haya maisha. Huu ndio ukweli unaotufanya tukishakuwa watu wazima, kutokulazimisha mahusiano tena. Binafsi ni muumini wa muungano. Sio tu wa Tanzania bara na Zanzibar, bali wa jumuiya ya Afrika Mashariki nzima. Hakuna faida...
  8. SMART PASSENGER

    JamiiForums Tanzania Wananchi walipaswa kushirikishwa moja kwa moja katika uamuzi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulianzishwa tarehe 26 Aprili 1964 na kuzaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hata hivyo, kwa miaka mingi kumekuwa na mijadala na maswali kuhusu namna uamuzi huo ulivyofikiwa na kama wananchi walishirikishwa vya kutosha katika kuamua hatima yao. Ninapoangalia...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nani anasimamia maslahi ya Tanganyika kwenye Serikali ya Muungano?

    Ni wazi kwamba Wazanzibari wanalinda sana maslahi yao kwenye Muungano.Muundo wa Muungano unawapa nafasi hii kwa sababu Muungano unaitambua Zanzibar lakini umeua uwepo wa Tanganyika. Kumekuwa na malalamika,kwa mafano Wazanzibari kuajiriwa kwenye idara na Wizara ambazo si za Muungano,mfano...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Kwakuwa ni halali kwa Wazanzibari kulinda haki za Wazanzibari haiwezi kuwa haramu kwa Watanganyika kulinda haki za Watanganyika

    KWAKUWA NI HALALI KWA WAZANZIBARI KULINDA HAKI ZA WAZANZIBARI HAIWEZI KUWA HARAMU KWA WATANGANYIKA KULINDA HAKI ZA WATANGANYIKA. Kwa yanayoendelea kujitokeza katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar kuhusu kujitanabaisha kwa misingi ya Uzanzibari na kulinda maslahi ya Zanzibar, je, si wakati sasa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge, Maganga: Mtu akiugusa Muungano mbele yangu, ni sawa na kunishika Bega

    Mbunge wa Katavi, Thomas Maganga, amesema; "Mtu akiugusa Muungano mbele yangu, ni sawa na kunishika bega wakati wa 'tafaruku' ile! Mheshimiwa Mwenyekiti, mtu akigusa Muungano kwangu atakutana na matatizo makubwa kweli kweli." Ameongeza "Muungano unao faida nyingi sana ambazo kwa akili ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jitihada zifanyike kuhakikisha mfumo wa kupokezana urais uwe kwa zamu ya Mtanzania Bara na Mzanzibar, hii itadumisha zaidi muungano

    Hapo zamani marais wa chama tawala kupekezana kiti cha kwa dini bila kujali rais anatokea wapi Pia imeshakuwa utamaduni kwa muda mrefu Rais akiwa wa Bara basi makamu wake ni wa Zanzibar au vice versa Ila tunakoelekea kuna system mpya inawekwa kwa wagombea urais kupokezana sehemu mbili...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Watanganyika mnasema Zanzibari ni ka mkoa, hii milio mnayotoa vipi tena?

    Hivi karibuni kuekuwa na watu wasio wazalendo wa nchi hii wakipiga kelele za kuilalamikia Zanzibar Zanzibari ni kanchi kadogoooo sana, wazanzibari kwa idadi yao ni milioni 2 huku watanganyika wakiwa takribani milioni 70 kwa makadirio hadi sasa. Zanzibar ni ndogo sana kuzidi hata wilaya nyingi...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tutaanzisha kituo cha kuenzi tunu za Muungano wetu

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaeleza wakazi wa Mkoa wa Kusini Unguja kuwa endapo watampa ridhaa ya kuongoza nchi, serikali yake itajenga Kituo cha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa ajili ya kuenzi na kulinda...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana uwezo kuimarisha Muungano kwa Serikali, Moja muda uliopo unatosha kabisa kufanya Minimum Reforms. Anachohitaji ni utashi wa Kisiasa Tuu

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la mwananchi la leo Muda unatosha mabadiliko madogo ni utashi tu wa kisiasa! Jumatano, Aprili 30, 2025 By Paschal Mayalla Jumamosi iliyopita tulisherehekea miaka 61 ya Muungano wetu huu adhimu na wa kipekee. Kwa hakika, Muungano wetu umeimarika...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Naupenda muungano, lakini mambo yaliyotokea chini ya uongozi wa Rais Samia ndio yamenifanya nione ni muhimu sana Rais wa Tanzania atoke huku bara

    Katika thread zangu, kuna watu wanahisi kwamba labda nawachukia CCM, au labda nina ubaguzi dhidi ya Zanzibar. Majibu yote ni hapana. Kinachofanya nionekane kama niko upande wa Lisu ni suala kwamba nauona uchaguzi ujao kama referendum ya kuwa na Raisi wa Tanzania kutoka bara au Zanzibar. Sasa...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wa Zanzibar wasitoke nje ya Bunge yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika?

    Yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano, ni kwanini wabunge toka Zanzibar wasiwe wanatoka nje ya bunge na kuwaachia wabunge wa Tanganyika kujadili mambo yanayowahusu watanganyika? Ni sawa wabunge toka nchi nyingine kujadili mambo yasiyowahusu ya nchi nyingine?
  18. S

    JamiiForums Tanzania Nyerere alikuwa anamfurahisha nani kukubali huu muundo wa Muungano?

    Huu ni muungano wa kulazimisha tena kwa mtutu wa bunduki. Ndio maana Kenyatta alisemaga watanzania ni wafu. Muundo wa hovyo hauwajawahi kuwepo duniani ndio maana CCM wanauita wa pekee hp duniani. Eti watu hawatakiwi hata kutaja jina Tanganyika kwasababu eti hatujui hata maana ya jina Hilo. Nini...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tanganyika imezikwa kwenye kaburi la Muungano, haiwezi kuvaa koti la Muungano

    Kuna wakati huwa nashangazwa Sana na mawazo ya baadhi ya wazanzibari wanapoona kuwa Tanganyika inafaidika zaidi na Muungano kati yake na Zanzibar, kuliko Zanzibar inavyofaidika na Muungano huo. Wazanzibari hao ndiyo waliobuni msemo wa "Tanganyika imevaa koti la Muungano" kumaanisha kuwa...
  20. Chakaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunajenga Utamaduni mbaya, tulianzia Chato sasa ni Kizimkazi!

    Kwamba kila Rais atakaye ingia madarakani nyumbani kwao inapelekwa miradi mikubwa bila kufanya utafiti wa kutosha wa mahitaji kwa fedha za walipa kodi hawa masikini. Matokeo ni kuwa wanapo ondoka madarakani inageuka kama ile ya nyumbani kwa Mobutu maana ilikuwa kukurupuka. Tumeona speed ya...
Back
Top Bottom