Basi usichokijua. JPM aliipangilia mbeya kwa nguvu. Ukanda wa huku mbeya ilikuwa kwenye ramani angekuwa JMP. Ilikuwa lazima angeanza na barabara nne kutoka mlima nyoka mpaka mbalizi. Hapo nwanjelwa ilikuwa ramani ya daraja la wavuka kwa miguu. Na ndio maana alilazimisha kumpitisha huyu mbunge mama.Kwali Awamu hii naifagilia bila kificho.
Awamu zilizopita zilikuwa na kinyongo na Mbeya...
kila mtu na mwandiko wake wengine tulisoma sayansi hatuwezi zingatia mambo madogo kama hayo uliyoyaona mtu wa arts.
Ngumu kumesa!Basi usichokijua. JPM aliipangilia mbeya kwa nguvu. Ukanda wa huku mbeya ilikuwa kwenye ramani angekuwa JMP. Ilikuwa lazima angeanza na barabara nne kutoka mlima nyoka mpaka mbalizi...
Hizo ni plans tuu na zitaendelea kuwa mipango na itatekelezwa kadiri ya upatikanaji wa pesa..Awamu yoyote ile lazima itatekeleza..Basi usichokijua. JPM aliipangilia mbeya kwa nguvu. Ukanda wa huku mbeya ilikuwa kwenye ramani angekuwa JMP. Ilikuwa lazima angeanza na barabara nne kutoka mlima nyoka mpaka mbalizi...
Pwani unamaanisha nini? Kuna mkoa umefanyiwa mambo mengi kama dar na dodoma!Hizo ni plans tuu na zitaendelea kuwa mipango na itatekelezwa kadiri ya upatikanaji wa pesa..Awamu yoyote ile lazima itatekeleza....
Kuchoma Moto vifaranga pale mpakani haikua na maana-Rais SamiaAhadi hazikutekelezwa sababu mlimuita Rais wenu SUGU.
Sasa ni betri kwa betri hakuna cha GUNZI yajayo mtafurahi.
Umeelewa nilichoandika au umekurupuka kutoka msalani?Pwani unamaanisha nini? Kuna mkoa umefanyiwa mambo mengi kama dar na dodoma!
Tuseme wazi Magufuli aliunyanyapaa mkoa wa Mbeya kiasi hata chama tawala mkoani kikawa hakina hata sauti.Ukweli ulio wazi ni kwamba awamu ya 5 ilifanya mambo machache Mbeya kulinganisha na Kanda ya Ziwa,Kati na Pwani.
Dar yenyewe 2015 alinyimwa kura karibu jiji Zima nae kwa kuwakomesha akahamishia shughuli zote Dom huku akizuga anafanya hivyo kisa uzalendo.Kwa visasi alikua ameshindikana yule.Ni vile tu Dar haikwepeki lkn angeigeuza kua kijiji.Tuseme wazi Maguguli sliunyanyapaa mkoa wa Mbeya kiasi hata chamatawala mkoani kikawa hakina hata sauti.
Acha kutetea ujinga, sayansi gani inasema uanze na herufi ndogo? Halafu mnalalamika hakuna kazi kumbe hamna mlichosoma!!kila mtu na mwandiko wake wengine tulisoma sayansi hatuwezi zingatia mambo madogo kama hayo uliyoyaona mtu wa arts.
Na Gesi pia ipo huko kwenu ...kazini sauti naona Mwakyenbe Mwamdosya walishindwa binafsi waoBarabara ya mwakaleli busokelo tunaomba atamke neno nayo itakamilika, imekwama toka aingie madarakani, na huko Kuna uzalishaji wa mazao ya chakula mwaka mzima bila Hata kutegemea mvua
Hii hoja ya kipuuzi sana. Yaani Magufuli hakuleta miradi ya miundombinu Mbeya kwa sababu ya SUGU kuwa Mbunge wa Mbeya?Basi usichokijua. JPM aliipangilia mbeya kwa nguvu. Ukanda wa huku mbeya ilikuwa kwenye ramani angekuwa JMP. Ilikuwa lazima angeanza na barabara nne kutoka mlima nyoka mpaka mbalizi. Hapo nwanjelwa ilikuwa ramani ya daraja la wavuka kwa miguu. Na ndio maana alilazimisha kumpitisha huyu mbunge mama...
nalalamika mimi na nani juu ya hakuna kazi, unaonaje ukajisemea wewe na hali yako maana mm nilishapambana na hali yangu na ya uzao wangu.Acha kutetea ujinga, sayansi gani inasema uanze na herufi ndogo? Halafu mnalalamika hakuna kazi kumbe hamna mlichosoma!!
Yaani umeonyesha ni jinsi gani ulivyo ng'ombe,una akili ya KIPUMBAVU,hujaelewa hata nilichoeleza mimi. Wapi nimekuambia tulimchagua huyo mbunge aliepo sasa mbeya?Hii hoja ya kipuuzi sana. Yaani Magufuli hakuleta miradi ya miundombinu Mbeya kwa sababu ya SUGU kuwa Mbunge wa Mbeya?...