Rais Samia jitokeze hadharani useme lolote ama tukuone tu na roho zetu zitulie

Rais Samia jitokeze hadharani useme lolote ama tukuone tu na roho zetu zitulie

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
9,144
Reaction score
19,689
Maana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha

Baada ya kikao cha CCM kushindwa kufanyika kama ratiba ya awali ilivyopanga tunasikia kelele nyingi mtandaoni kuwa hutaweza kuendelea tena kugombea, mara umepanda ndege ya abiria kurudi Zanzibar

Tunaomba ufanye hima ujitokeze tu pale Ubungo au Posta ununue muhindi wa kuchoma na kupiga picha kama alivyokuwa akifanya JPM
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.
IMG-20250720-WA0039.jpg
 
Maana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha

Baada ya kikao cha CCM kushindwa kufanyika kama ratiba ya awali ilivyopanga tunasikia kelele nyingi mtandaoni kuwa hutaweza kuendelea tena kugombea, mara umepanda ndege ya abiria kurudi Zanzibar

Tunaomba ufanye hima ujitokeze tu pale Ubungo au Posta ununue muhindi wa kuchoma na kupiga picha kama alivyokuwa akifanya JPM
Mnachezewa vibaya sana na watu wa propaganda na wazushi,hivyo ndivyo Utawala unapenda Ili upate mda wa kujipanga.

Spinning ni gani pia

View: https://www.instagram.com/p/DMVDFqAqxho/?igsh=cWRmYjExNjRsaDFj
 
Mkuu kwa tuliyoshuhudia 2021 kuna vitu serikali inaviita propaganda halafu vinageuka kuwa kweli. Tulishaumwa na nyoka, tujiona jani tunastuka
Kwani wewe saizi umesikia nini? Uzushi wa mawakala wa kina slow slow au kipi?
 
Back
Top Bottom