Darwin 9
Member
- Sep 3, 2023
- 9
- 18
Mheshimiwa Rais samahani sana, na pole na majukumu yako mama.
Sisi WaTanzania ambao kwa bahati mbaya tumewai kufanikiwa kutoka nje ya nchi hii kiukweli roho imekua ikituuma kuona vi nchi vidogo ambavyo vingine havitufikii kwa rasilimali na utajiri tulio nao, et navyo vina barabara bora na kubwa kutushinda, na tumekua mashuuda namna ambavyo barabara kubwa zilivyo salama kutumika.
Tuko wengi sana hapa nchini, na nna uhakika baada ya miaka 15 ijayo, tutakua mara mbili ya tulivyo leo. Ni bora barabara zetu ambazo ndio chanzo kikubwa cha maendeleo kwa sasa tukazitanua kwa ukubwa huo, walau tukishindwa kabisa basi tuweke ata 2 kwenda na 2 kurudi, kuliko hizi tulizo nazo sasa ambazo ni mbaya na mbovu ajabu.
Kujenga barabara zenye ukubwa wa njia 4 kwenda na njia 4 kurudi toka mikoa tajwa inawezekana Mweshimiwa Rais, tafadhali sana mama, ikikupendeza sana Mweshimiwa Rais tunaomba ujenzi huu uanze mara moja.
Tena ikiwezekana mama, barabara hizi zianze kujengwa na wafungwa wetu ambao kwa asilimia 95 hua wamekaa tu ndani bila kufanya shughuli yoyote kwa siku 365.
Tuwatumie JKT wawasimamie hawa wafungwa, watengeneze barabara, na wafungwa walio na vifungo chini ya miaka 10 baada ya ujenzi huo waachiwe huru itakua kama zawadi yao. Mama tuifanye nchi yetu kua bora zaidi.
Mama Samahani sana kwa kutokufuata utaratibu.