Rais Samia, jaribio lolote la kuipa Zanzibar mamlaka kamili ndilo litakuwa anguko lako

Kabla hata hajafikiria kufanya hivyo, bendera zitapepea nusu mlingoti. Huo muungano hakuna atakekuja kuuchezea kizembe.
 
Usalama wa kitu gani labda? Ni kipi so special hapa bara ambacho Zanzibar ndio inapaswa kuwa kinga yetu? Au ni muungano wa kitambiko kiasi kwamba ukivunjika mizimu itafanya yake?
mkuu naomba unisaidie ku ignore huyu suzy Elias
 
Samuel Sitta aelezea Hofu ya CCM juu ya pendekezo la uraia pacha hususan waZanzibari wenye asili ya Oman

 
Nje ya Muungano, hakuna Zanzibar isipokuwa kuna Unguja na Pemba. Kama wanadhani sumu inaonjwa, wajaribu waone. Haitaisha miaka mitano kabla Tanganyika haijapokea wakimbizi kutoka upande huo!
Ndiyo Nyerere alivyowadanganya? Zanzibar ni taifa lenye historia ya zaidi ya miaka 2000. Kama unayotabiri yangekuwa ni kweli yangeshatokea huko nyuma. Leo hii wanaoivuruga na kutaka kuigawa Zanzibar ni wale waliovamia mwaka 1964. Tangu wafanye uvamizi, kazi yao ni kumwaga damu za Wazanzibari, kuwapa watu vilema, kunajisi watu, na maovu mengine mengi sana.
 
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.

Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!

Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.

Kwenu Tiss.
Kitu gani ambacho Mama Samia amekifanya ambacho kinaonesha dalili za kuipa Zanzibar mamlaka kamili.
.? ni ziara zake za mapumziko huko Zanzibar...? Kama ni hilo hata mwendazake alikuwa anatumia muda wa mapumziko kwenda Chato na hatukuwahi kusikia chato inataka kuwa Jamhuri ndani ya nchi yetu, au ni ule mgao wa fedha ya mkopo wa IMF kwa ajili ya corona ...? kama ni hilo pia sio sababu ya kusema Zanzibar haistahili sehem ya mkopo huo kwani nayo ni sehem ya Jamhuri ambayo ilijivua sovereignty yake kwa ajili ya kuanzisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.

Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!

Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.

Kwenu Tiss.
Acha uzandiki
 
Huu muungano wetu ni zao la uoga wa KarumeKenge mkubwa kuogopa kupinduliwa na vijana wa Abrahaman Babu vijana wa Umma Party. Maana ukiangalia kwa umakini, KarumeKenge aliitawala Zanzibar kwa miezi 3 tu kabla ya mwalimu kumwingiza cha kike. Mapinduzi 12 january, 26 april Muungano. Kumbuka wakati huo Mwalimu alikuwa kapeleka jeshi kulinda amani baada ya yale mapinduzi. Na hii ndio ilokuwa turufu kubwa ya Mwalimu kwa KarumeKenge. Wakihitilafiana kidogo tu, karumekenge anatishia kuvunja muungano na Mwalimu anatishia kutoa jeshi..... mchezo ulikuwa hivyo. Ila muungano huu sio wa hiyari ni wakulazimishana. Na hii tabia ya kusema eti ni kwa usalama wetu mnaipata wapi? Mbona kenya na zanzibar ni majirani lakini hakuna hatari yoyote ya kiusalama kwa wakenya?
 
Tatizo hulioni? Ukiiondoa “Tanganyika” na ikasimama yenyewe, Rais wa Muungano wa “Tanzania” atabaki anahanghang tu. Nyerere hakuwa fala.

Harafu kwanini tujipe mzigo wa kuwa na Serikali ya tatu isiyokuwa ardhi wala tija?
Kwa nini tuendelee kubeba gunia la Zanzibar?!
 
Back
Top Bottom