Mzee Duni: Watanganyika wanadai Nchi yao Hii ndio fursa ya Zanzibar kupata Mamlaka Kamili tuliyoyadai kwa miaka 60. Awashukia Chadema kuhusu DP World!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,023
Mwenyekiti wa ACT wazalendo Mzee Duni Haji amesema Huu ndio wakati muafaka wa Zanzibar kupata Mamlaka Kamili na Tanganyika wapewe Nchi yao

Aidha Mzee Duni amesema Bandari siyo jambo la muungano hivyo Chadema wasipotoshe Wananchi

Duni amesema Kitu kinachomkera zaidi ni Wanajeshi wa Zanzibar kupelekwa vitani Congo na Rwanda na kuwafundisha Zanzibar wakiwa Kwenye mabox na kuimba raillah.illahula
Mzee Duni amesema Watanganyika wanamnyanyasa Sana Rais Samia kwa Sababu ya Uzanzibari wake

Nitajitahidi kuweka clip Duni kauponda Sana Muungano

Source: ACT wazalendo Online TV
 
huu alikuwa chadema au nachanganya mambo? mgombea mwenza
 
Zitto zuberi anasemaje kuhusu kauli ya bwn Duni Haji?
 
Wazanzibar wengu wavivu wa kusoma na kufikjri.

Huyo fara hajui kuwa Zanzibar haina Jeshi , ina vijikosi maalumu ambavyo havina impact katika ulinzi wa Taifa.
 
Back
Top Bottom