ni zaidi ya kusikitishaSerikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia ina aleji kubwa na miradi ya kimkakati iliyoanzishwa kwa lengo la kumaliza matatizo ya watanzania.
Rais Samia amegoma kuuzindua mradi wa bwawa la Nyerere uliojengwa kwa lengo la kukomesha tatizo la umeme ndani ya nchi.
Rais Samia amegoma kuzindua barabara ya njia nane kutoka kimara hadi Kibaha uliojengwa kwa ajili ya kukomesha tatizo la foleni jijini.
Rais Samia amegoma kuipa msukumo bandari kavu ya kwala ili ijae makontena yatakayozuia foleni malori kuingia jijini na kuongeza foleni lakini pia kuharibu barabara za mitaa vibaya sana. Kila kona ya jiji sasa hivi wanajenga ICD za kuhifadhi makontena!
Rais Samia amegoma kuupa uzito mradi wa reli ya SGR hali iliyopelekea kipande cha Mwanza mkandarasi kufukuza wafanyakazi na kusuasua sana.
Serikali ya Samia haijulikani ni nini na iko uchumi gani maana uchumi wa kati tulishatolewa!
Serikali ya Samia yatenga Tzs trillion 1 kwa ajili ya safari.
Inasikitisha sana
Nchi imeuzwa hiiSerikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia ina aleji kubwa na miradi ya kimkakati iliyoanzishwa kwa lengo la kumaliza matatizo ya watanzania.
Rais Samia amegoma kuuzindua mradi wa bwawa la Nyerere uliojengwa kwa lengo la kukomesha tatizo la umeme ndani ya nchi.
Rais Samia amegoma kuzindua barabara ya njia nane kutoka kimara hadi Kibaha uliojengwa kwa ajili ya kukomesha tatizo la foleni jijini.
Rais Samia amegoma kuipa msukumo bandari kavu ya kwala ili ijae makontena yatakayozuia foleni malori kuingia jijini na kuongeza foleni lakini pia kuharibu barabara za mitaa vibaya sana. Kila kona ya jiji sasa hivi wanajenga ICD za kuhifadhi makontena!
Rais Samia amegoma kuupa uzito mradi wa reli ya SGR hali iliyopelekea kipande cha Mwanza mkandarasi kufukuza wafanyakazi na kusuasua sana.
Serikali ya Samia haijulikani ni nini na iko uchumi gani maana uchumi wa kati tulishatolewa!
Serikali ya Samia yatenga Tzs trillion 1 kwa ajili ya safari.
Inasikitisha sana
Nilishangaa sanaNani amempa GSM kuweka ICD kwenye eneo la kambi ya jeshi mbagala?
Tuseme ni malipo ya Ile bl 10 ya kampeni aliajidi mlimani city?
Khaaaà
Aisee kwa ccm Kila kitu kinawezekana. Kama walivyoweza kuuwa watu na kuwasingizianwengineNilishangaa sana
Jhnpp inazinduliwa tarehe 21/8/26. Una la ziada?Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia ina aleji kubwa na miradi ya kimkakati iliyoanzishwa kwa lengo la kumaliza matatizo ya watanzania.
Rais Samia amegoma kuuzindua mradi wa bwawa la Nyerere uliojengwa kwa lengo la kukomesha tatizo la umeme ndani ya nchi.
Rais Samia amegoma kuzindua barabara ya njia nane kutoka kimara hadi Kibaha uliojengwa kwa ajili ya kukomesha tatizo la foleni jijini.
Rais Samia amegoma kuipa msukumo bandari kavu ya kwala ili ijae makontena yatakayozuia foleni malori kuingia jijini na kuongeza foleni lakini pia kuharibu barabara za mitaa vibaya sana. Kila kona ya jiji sasa hivi wanajenga ICD za kuhifadhi makontena!
Rais Samia amegoma kuupa uzito mradi wa reli ya SGR hali iliyopelekea kipande cha Mwanza mkandarasi kufukuza wafanyakazi na kusuasua sana.
Serikali ya Samia haijulikani ni nini na iko uchumi gani maana uchumi wa kati tulishatolewa!
Serikali ya Samia yatenga Tzs trillion 1 kwa ajili ya safari.
Inasikitisha sana
DuhSamia hamna rais sijui anafanya nini!! Kile kiti toka akalie mtu akiniuliza taja mazuri aliyoyafanya samia nakumbuka mabaya tu