Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,498
Rais Samia amesema Mbio za kuelekea Oktoba zimeanza rasmi, CCM tuko tayari kudemka kadri Ngoma itakavyopigwa.
HIvi si anapambana na Salum mwalimu urais! Mitano tena maza.Hii ni awamu ya zenjbar,watanzagiza mtulie kwanza mpaka tushibe.Rais Samia amesema Mbio za kuelekea Oktoba zimeanza rasmi, CCM tuko tayari kudemka kadri Ngoma itakavyopigwa.
View attachment 3436660
Rais Samia amesema Mbio za kuelekea Oktoba zimeanza rasmi, CCM tuko tayari kudemka kadri Ngoma itakavyopigwa.
View attachment 3436660
HIvi si anapambana na Salum mwalimu urais! Mitano tena maza.Hii ni awamu ya zenjbar,watanzagiza mtulie kwanza mpaka tushibe.
..Salum Mwalimu anajenga hoja na yuko sharp kuliko Samia Suluhu.
..Kwa anayebisha afuatilie hotuba zao za hivi karibuni.