mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,479
- 138,343
Mkuu mm siamini kama madawa yanaingia kwa kupitia bandariMkuu tukiweka mjtambo vizuri tunaweza kupunguza mzigo kuingia? Au watatumia njia nyingine?
Miaka ya 80 wakati huo heroin bongo haijulikani ndy ilikuwa inainfizwa kwa njia za meli,na waingizaji wakubwa walikuwa mabaharia, sema wakati huo matumiz,soko lilikuwa halipo tz
Na mzigo ulikuwa ukingia unafanyiwa mipango inakwenda ulaya na kwengineko
Miaka hiyo inaweza wekwa fuko la heroin lakini wabongo walikuwa hawaujui kabisa
I lipo toka heroin watu ndy wakawa wanaingiza mandrax kutoka India kwa njia za Airport,hyo inakaribia 90s sasa
Baada ya watu kuanza kuonja soko likaanza kufunguka watu wakawa wanaingiza unga kwa njia ya tumbo
Kumeza,walianzia kuleta kutokea India,India kukafa,ikaja Pakistan kukafa,ikaja Iran sasa
Demand ilipokuwa kubwa ndy ss wairan wakawa wanaleta kwa maboti
Hapo tunazungumzia kg 500 nankuendelea kwa trip moja
Na both zao zikija zinaishia baharini au fukwe fulani na wadau wao ss wanaenda kuvua wenyewe
Hata ununio nk washashusha sana
Kwa njia za bandari,hata kama zinakuja basi ni asilimia ndogo sana
Hawa wafanya biashara wa madude haya wana mbinu nyingi ukibana hapa wana pita kule
Hata kipindi kile cha unga wa kumeza
Walipoona wakija dar Airport wanadakwa,wakabilisha formation
Unakuta kama mtu anatoka Iran anakuja mpaka Malawi, yule aliyemeza anaishia Malawi,anakunya mzigo ,anatoka sasa mtu kutoka dar anakwenda Malawi au Uganda nk
Anameza anakuja na mzigo
Yule aliyetoka nao Iran anakuja mtupu
Na huyo anayeenda kumeza mzg na kuuleta anaitwaga kihongwe
Bado kuna nchi km brazil watu wanaingiza kwa kumeza ,na uwezo wa mtu kumeza mara nyingi huwa kg2
Na kuna wengine wanaburuza (packing kwenye mabegi)
Hawa huwa wanataka kuleta mzigo mkubwa kg5 kuendelea
Ova