Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,896
- 287,985
Awaambie wenye Bandari DP WORLDRais Samia amesema maboresho yanayofanyika kule Bandarini yazingatie kufunga Mitambo ya kuzuia Unga ( Dawa za Kulevya)
Rais Samia amesema hayo katika maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani, jijini Arusha
Source: Ayo tv