PreGE2025 Rais Samia azindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Tambukareli-Dodoma, leo tarehe 05 April, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza hafla ya uzinduzi wa majengo ya Mahakama ya Tanzania leo Aprili 5, 2025, katika Mtaa wa Tambukareli, jijini Dodoma.

Majengo hayo ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuboresha miundombinu ya utoaji haki, kwa lengo la kuongeza ufanisi na kuimarisha upatikanaji wa huduma za kimahakama kwa wananchi.

Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi wa juu wa serikali, Mahakama na wadau mbalimbali wa sekta ya sheria.

Miradi hiyo ni pamoja jengo la makao makuu ya Tume ya Utumishi wa Mahakama, ambalo lipo mkabala na jengo la makao makuu ya Mahakama ya Tanzania.

Mradi wa pili utakaozinduliwa ni makazi za majaji ambayo yapo karibu na Chuo Kikuu cha Dodoma na mradi wa tatu ni jengo la makao makuu ya Mahakama ya Tanzania lenye jumla ya ghorofa tisa na ambalo helikopta inaweza kutua juu yake.

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja hapa

Majaji wa Mahakama ya Rufani walivyowasili katika eneo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania panapofanyika hafla ya uzinduzi rasmi wa majengo ya Mahakama.

1743842081234.png

1743842042904.png
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Willium Lukuvi akisalimiana na baadhi ya viongozi waliowasili katika Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania panapofanyika Halfa ya Uzinduzi wa Majengo ya Mahakama ya Tanzania.

1743842234142.png
Rais Samia alivyopanda mti na kukata utepe uzinduzi wa majengo ya Mahakama ya Tanzania.

1743855164830.png

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule; "Jengo jipya la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania si tu kwa ajili ya huduma za kimahakama, bali ni urithi wa kipekee unaoleta hadhi, fursa za kiuchumi, na kuvutia wageni kutoka ndani na nje ya nchi."

"Muundo huo wa kipekee umebeba maono, heshima, na urembo unaoitangaza Tanzania kimataifa."

"Tunamshukuru Rais kwa kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kupitia muundo huu wa kipekee wa Mahakama. Ni fahari kwa Dodoma, ni fahari kwa nchi."

Rais Samia Suluhu akizindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Dodoma

"Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ni la sita kwa ukubwa kati ya majengo ya Makao Makuu ya Mahakama duniani. Tanzania tuko pazuri sana na tuna haki ya kutembea kifua mbele, na ni la kwanza barani Afrika."

1743854516905.png

1743854540281.png
"Serikali imefanya makusudi kujenga mazingira mazuri kwa majaji wetu. Lakini mazingira haya yaendane na huduma bora zinazotolewa ndani ya majengo haya."

"Jengo jipya la Mahakama Kuu litafanya kazi na kutoa huduma bila kutumia karatasi, hatua inayolenga kuboresha utoaji wa haki kwa kutumia teknolojia za kisasa. Jengo hilo jipya litatumika kuendesha shughuli za kimahakama kwa mfumo wa kidijitali, hatua itakayosaidia kuongeza ufanisi na uwazi katika shughuli za utoaji haki."

"Tumearifiwa kuwa mahakama hii tunayoizindua leo inakwenda kutoa huduma bila karatasi, yaani paperless, ni mambo ya mtandao na teknolojia ndiyo yatatawala humu ndani,"
 
Mhe. Rais Dkt. Samia kuzindua jengo la makao makuu ya mahakama ya Tanzania

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz
Nimegundua viongozi wa Africa hawana kazi. Rais anapaya wapi muda wa kuzindua majengo na matatizo yote tuliyonayo?
 
Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza hafla ya uzinduzi wa majengo ya Mahakama ya Tanzania leo Aprili 5, 2025, katika Mtaa wa Tambukareli, jijini Dodoma.

Majengo hayo ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuboresha miundombinu ya utoaji haki, kwa lengo la kuongeza ufanisi na kuimarisha upatikanaji wa huduma za kimahakama kwa wananchi.

Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi wa juu wa serikali, Mahakama na wadau mbalimbali wa sekta ya sheria.

Miradi hiyo ni pamoja jengo la makao makuu ya Tume ya Utumishi wa Mahakama, ambalo lipo mkabala na jengo la makao makuu ya Mahakama ya Tanzania.

Mradi wa pili utakaozinduliwa ni makazi za majaji ambayo yapo karibu na Chuo Kikuu cha Dodoma na mradi wa tatu ni jengo la makao makuu ya Mahakama ya Tanzania lenye jumla ya ghorofa tisa na ambalo helikopta inaweza kutua juu yake.

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja hapa

Majaji wa Mahakama ya Rufani walivyowasili katika eneo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania panapofanyika hafla ya uzinduzi rasmi wa majengo ya Mahakama.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Willium Lukuvi akisalimiana na baadhi ya viongozi waliowasili katika Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania panapofanyika Halfa ya Uzinduzi wa Majengo ya Mahakama ya Tanzania.

Rais Samia alivyopanda mti na kukata utepe uzinduzi wa majengo ya Mahakama ya Tanzania.

petty issues kila wakati,....uzinduzi, uteuziand the like
 
Hivi kwa nini askari waliovaa kivita na silaha za moto wanakuwepo katika tukio kama hili?

Amandla...
 
Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza hafla ya uzinduzi wa majengo ya Mahakama ya Tanzania leo Aprili 5, 2025, katika Mtaa wa Tambukareli, jijini Dodoma.

Majengo hayo ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuboresha miundombinu ya utoaji haki, kwa lengo la kuongeza ufanisi na kuimarisha upatikanaji wa huduma za kimahakama kwa wananchi.

Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi wa juu wa serikali, Mahakama na wadau mbalimbali wa sekta ya sheria.

Miradi hiyo ni pamoja jengo la makao makuu ya Tume ya Utumishi wa Mahakama, ambalo lipo mkabala na jengo la makao makuu ya Mahakama ya Tanzania.

Mradi wa pili utakaozinduliwa ni makazi za majaji ambayo yapo karibu na Chuo Kikuu cha Dodoma na mradi wa tatu ni jengo la makao makuu ya Mahakama ya Tanzania lenye jumla ya ghorofa tisa na ambalo helikopta inaweza kutua juu yake.

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja hapa

Majaji wa Mahakama ya Rufani walivyowasili katika eneo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania panapofanyika hafla ya uzinduzi rasmi wa majengo ya Mahakama.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Willium Lukuvi akisalimiana na baadhi ya viongozi waliowasili katika Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania panapofanyika Halfa ya Uzinduzi wa Majengo ya Mahakama ya Tanzania.

Rais Samia alivyopanda mti na kukata utepe uzinduzi wa majengo ya Mahakama ya Tanzania.

Haya sasa ndio matumizi yasiyo na tija ya fedha za umma. Ikifika jioni CAG akifanya ukaguzi wa hesabu za fedha zilizotumika kwenye uzinduzi atakuta deni la Taifa limeongezeka kwa asilimia 9.57%
 
Party after Party, Bumper to Bumper...

Pesa hizo tungesave na nyingine nyingi huenda tungeweka miundombinu ya kuweza kufikisha Umeme huko Kaskazini na hivyo badala ya kununua tungeuza ziada.
 
Ivi wakuu Priorities zetu kama nchi ni zipi??
Hamna siku nimesikia tumezindua hata viwanda aisee?
Umaskini utatuondoka kweli?.
 
Majengo bila kutenda haki ni Upuuzi ,Majengo ya hospital bila daktari/manesi ni uJinga.
Kwahiyo hamtaki jengo pia

Ila nyie jamaa mbumbumbu sana

Mna kipi mnakikubali nyie?

Hapo mahakamani si kila siku mnaenda kufungua mashauri kibao?
 
Majengo ya nini bila haki? Hauwezi kunielewa ukiwa na kili za UCHAWA.

Mahakama mliyofungua ya mafisadi imeshamtia hatiani nani na ufisadi?

Nenda hospital zenu hizo mlizoanzisha ,hospital kubwa ngazi ya wilaya ina dakkari mmoja....mgonjwa anaenda saa mbili asubuhi anakuja kuonana na dakktari saa moja usiku.
 
Hizo hizo hospital ndio anatibiwa mama yako na baba yako Kisonono na kaswende boya wewe

Wewe tu maisha yako yamekushinda
 
Nimecheka leo.Sijui ni nani anakwambia hii ndio mahakama kubwa ya 6 kwa ukubwa duniani.

Ukubwa UPi!.
Ina heka kubwa ya eneo hapa dodoma.
 
Kwahiyo chama Cha Upinzani mfano Chadema ikichukua madaraka hakuna kujenga barabara, hospitali, shule ila kikubwa ni kuimarisha haki chini ya miti na juu ya mawe sio?

Ungewauliza CDM mkuu wangekupa vipaumbele vyao ,mimi natoa mawazo yangu kwa jinsi navyoona hali ya sasa.
 
Back
Top Bottom