Rais Samia awasili nchini Ethiopia



Hehehe eti kujibu maswali ya Makonda! Hayo wangeweza kujibu through Skype tu. Ama video call.


Kuhusu Waziri wa ulinzi kwenda kwenye hicho kikao nimedhani yeye ndio angefit maana wanazungumzia masuala ya kiusalama na ulinzi katika nchi za Afrika haswa zinazokabiliwa na machafuko na ukosefu wa amani.
 
Soko la hapa Nchini lenyewe halina Umeme huu sasa ni wakati muafaka wa kujali siasa za ndani siasa za sijui kumkomboa mtu ndio zimetufanya tuwe masikini wa kutupwa.
Una mtazamo finyu sana. Kama unachoona ni tatizo la umeme leo tu huoni kitakachotokea miaka mitano ijayo, basi wewe ni hopeless 😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…