Rais Samia awapandisha vyeo Maofisa watatu wa polisi, IGP Wambura awavisha rasmi kuwa Makamishna wasaidizi waandamizi wa polisi (SACP)

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) maofisa watatu waliopandishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP).

Maofisa waliopandishwa hao ni pamoja na Mkuu wa Kikosi cha Polisi Wanamaji, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Moshi Sokoro, Mkuu wa Kikosi cha Matengenezo ya Magari ya Polisi, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Tuntufye Absalome na Mkuu wa Kikosi cha Bendi, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Msolo Msolo

IGP Wambura amewavisha vyeo hivyo baada ya Rais Samia ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu, kuwapandisha maofisa hao leo
Polisi (ACP)

igp.png

ads.png

1751380307316.png
 
Kupanda faraja kwa watumishi wa umma ni takwa la kisheria. Nilikuwa nashangaa sana nikikutana na coplo Mwenye miaka 35+ nilikuwa najiuliza Sasa huyu alijiunga na jeshi akiwa na miaka mingapi..!? Nabaki tu nashangaa
 
sisi uku site hatupandishi vyeo miaka nenda rudi ni saidia fundi tuu labda ujiongeze mwenyewe ukanunue vyombo vya ufundi
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) maofisa watatu waliopandishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP).

Maofisa waliopandishwa hao ni pamoja na Mkuu wa Kikosi cha Polisi Wanamaji, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Moshi Sokoro, Mkuu wa Kikosi cha Matengenezo ya Magari ya Polisi, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Tuntufye Absalome na Mkuu wa Kikosi cha Bendi, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Msolo Msolo

IGP Wambura amewavisha vyeo hivyo baada ya Rais Samia ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu, kuwapandisha maofisa hao leo
Polisi (ACP)

Maofisa waliopandishwa hao ni pamoja na Mkuu wa Kikosi cha Polisi Wanamaji, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Moshi Sokoro, Mkuu wa Kikosi cha Matengenezo ya Magari ya Polisi, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Tuntufye Absalome na Mkuu wa Kikosi cha Bendi, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Msolo Msolo

IGP Wambura amewavisha vyeo hivyo baada ya Rais Samia ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu, kuwapandisha maofisa hao leo

Mbona wanene hivyo?
 
Hao kwenye jeshi ni vyeo vyao ni sawa na Luteni, Yani Assistant commissioner of police (ACP) ni sawa na Luteni usu, senior assistant commissioner of police (sacp) ndio sawa na Luteni
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) maofisa watatu waliopandishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP).

Maofisa waliopandishwa hao ni pamoja na Mkuu wa Kikosi cha Polisi Wanamaji, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Moshi Sokoro, Mkuu wa Kikosi cha Matengenezo ya Magari ya Polisi, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Tuntufye Absalome na Mkuu wa Kikosi cha Bendi, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Msolo Msolo

IGP Wambura amewavisha vyeo hivyo baada ya Rais Samia ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu, kuwapandisha maofisa hao leo
Polisi (ACP)

Maofisa waliopandishwa hao ni pamoja na Mkuu wa Kikosi cha Polisi Wanamaji, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Moshi Sokoro, Mkuu wa Kikosi cha Matengenezo ya Magari ya Polisi, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Tuntufye Absalome na Mkuu wa Kikosi cha Bendi, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Msolo Msolo

IGP Wambura amewavisha vyeo hivyo baada ya Rais Samia ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu, kuwapandisha maofisa hao leo

wanaandaliwa kwenda kuua kisawasawa hongera zao!
 
Back
Top Bottom