Rais Samia atua Dodoma akitokea DSM

Mitumbuo kabla ya ijumaa...wakuu wa mikoa na wilaya wajiandae...
 
Mimi nasubiri baada ya siku 100. Ila mpaka sasa hivi, Mama bado! Tena anatakiwa kuwa makini sana na "wapambe" hasa wa mitandaoni.
 
Ila huyo mama hapo kulia kwake bhana....
Any way ngoja niishie hapo
 
Kwanini apewe na si wengine??
Toa sababu.
Wewe nilikuuliza kwa nini wawe wale wengine na siyo Rungwe ukanijibu kuwa si waligombea,lakini mimi nikikupa jibu hilo hilo naona inakuwa nongwa!!Hii ni sawa?
 
[emoji3][emoji2][emoji3][emoji2][emoji3]
 
Wewe nilikuuliza kwa nini wawe wale wengine na siyo Rungwe ukanijibu kuwa si waligombea,lakini mimi nikikupa jibu hilo hilo naona inakuwa nongwa!!Hii ni sawa?
Nataka utoe sababu za kumchagua Ringwe na kuacha wengine ilihali wote waligombea na kura zao hazikutosha.
 
Nataka utoe sababu za kumchagua Ringwe na kuacha wengine ilihali wote waligombea na kura zao hazikutosha.
Wewe hukunipa sababu ya wale uliowataja na kuwapendekeza,kwa nini mimi nikupe sababu ilihali wewe hukufanya hivyo?Unaelewa kuwa umewataja na kuwapendekeza akina Lissu bila ya kutoa sababu?
 
Wewe hukunipa sababu ya wale uliowataja na kuwapendekeza,kwa nini mimi nikupe sababu ilihali wewe hukufanya hivyo?Unaelewa kuwa umewataja na kuwapendekeza akina Lissu bila ya kutoa sababu?
Jamani!
Wewe si ndiye uliyekuja na mapendekezo kuwa angepewa Rungwe??
Sasa utupe sababu kwanini Wampe Rungwe.
 
[emoji3][emoji2][emoji3][emoji2][emoji3]
Mkuu Wewe cheka tu Lakini mimi mkulima nikifikiria msoto nnaokua nao mwaka mzima, alafu mjuvi mmoja wa mambo anatuletea bei elekezi sijui kufunga mipaka, eti nchi isiwe na njaa! Alafu unamsikia Mtu eti waziri anasema mbaazi chakula kizuri cha Mifugo! Unatamani kumftatua DKR. Kileruu!
 
Roho kusema Ole sabaya analambishwa mchanga,au
Kumuombea mabaya mtu hata kama kuna mambo hukubaliani naye!,
Law of karma inatwambia "kwa kipimo kile kile tunachowapimia wenzetu nasi tutapimiwa hivyo hapa hapa duniani!
 
Kumuombea mabaya mtu hata kama kuna mambo hukubaliani naye!,
Law of karma inatwambia "kwa kipimo kile kile tunachowapimia wenzetu nasi tutapimiwa hivyo hapa hapa duniani!
Huyo mtoto wa mkuu wa wilaya wa zamani alisha pimaga siku nyingi sana, anasubiri tu na yeye kupimiwa! Alafu ana vijambazi vyake vinatembeaga na pingu, navyo kwenye vipimo vya mume wao watakulaa kilo kadhaa pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…