Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,759
Mtu alietenda haya ataachaje kutajwa kila dakika na kila sekunde?:πKweli JOHN Pombe Joseph Magufuli ametuacha kimwili tuu
Anatajwa kila dakika kila sekunde
Biashara nayofanya inahusiana vipi na covid? Huu uongo wa kusingizia covid sijui kwa nini mnaupenda. Nina hardware,watu hawajaacha kujenga kisa Kuna covid hivyo materials yananunulika Kama kawaida tu. Tuache kujipa moyoBiashara zimeathirika sana esp kipindi cha covid. Una bahati sana mambo kwako yameendelea kwenda tu. Mshukuru sana MUNGU.
Si Kama Tulivyokuwa Tunaita JPJM au Jpm Mkuu [emoji1][emoji1][emoji1]Sasha, nimeipenda hiyo
Yeah DudeSASHA - SAMIA SULUHU HASSAN.
Yes My Dada [emoji1][emoji1][emoji1][emoji4][emoji4]SASHA[emoji7][emoji7][emoji7]
Chalamila atabakiSasa ni zamu ya ofisi za wilaya na mikoa kupekuliwa!! Kila la kheri Chalamila katika maisha mapya nje ya ofisi za serikali! Awamu ya sifa na kuabudu ilishafikia tamati, sasa tunakwenda na watu wenye wito wa kufanya kazi.
Aisee ww ulikuwa na tenda wapi kwenye hiyo hardware yako? Utakuwa una connection sana maana wengine hali haikuwa nzuri kwenye hiyo field ya ujenzi. Miradi mingi sana ilihamishwa kutoka sekta binafsi.Biashara nayofanya inahusiana vipi na covid? Huu uongo wa kusingizia covid sijui kwa nini mnaupenda. Nina hardware,watu hawajaacha kujenga kisa Kuna covid hivyo materials yananunulika Kama kawaida tu. Tuache kujipa moyo
Mkuu maskini wapo wengi miaka na miaka, ni uongo kusema kipindi Cha jk pesa ilikuwepo wakati maskini walikuwa bado wengi Sana. Umaskini inatoka kwa kufanya kazi kwa bidii, hata aongozs malaika Kama hufanyi kazi kwa ubora na bidii hutakuwa tajiri, mfano mzuri Sasa hivi yupo mama Samia Sasa wewe endelea kulala ukitegemea mama samia atakufanya kuwa tajiri. Najua umenielewa, Ila Kama bado endelea kulalama
Credit to britaniccaSasha, nimeipenda hiyo
Mkuu habari ya sikuCredit to britanicca
Huyu mzee anaishi mioyoni mwa Watanzania.Kweli JOHN Pombe Joseph Magufuli ametuacha kimwili tuu
Anatajwa kila dakika kila sekunde
CCM wana laana za kudhulumu haki za watu.Hawana sifa ya kutoa Rais wa nchi!Kwahiyo unataka nani awe Rais?
Wewe kila mtu humtaki
Ngoja nikusaidie kulalamika maana watu mnahisi maisha yamesimama.Aisee ww ulikuwa na tenda wapi kwenye hiyo hardware yako? Utakuwa una connection sana maana wengine hali haikuwa nzuri kwenye hiyo field ya ujenzi. Miradi mingi sana ilihamishwa kutoka sekta binafsi.
Achana nae ana Kichaa Sio Bure HuyoKwahiyo unataka nani awe Rais?
Wewe kila mtu humtaki
Hujanijibu swali langu.CCM wana laana za kudhulumu haki za watu.Hawana sifa ya kutoa Rais wa nchi!
Njema kabisa mkuu. Tunaendelea kujifunza kutoka kwenye utawala wa kurithiMkuu habari ya siku
Mnahangaika Sana lakini hakuna chochote mtakachopata...huyu mwenye matendo haya unayotaja ndie huyo wananchi asilimia 90 walikuwa wanamtaka..huyohuyoooMtu alietenda haya ataachaje kutajwa kila dakika na kila sekunde?:π
1.Kuondoka duniani wakati hahitajiki.
2.Kuteka wapinzani wake kama akina Azory Gwanda ili yeye ajihakikishie kutawala milele.
3.Kutesa wapinzani wake kwa kuwaweka ndani kila siku kwa kesi fake ambazo hazina dhamana.
4.Kuua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.
5.Kuua uhuru wa vyombo vya habari.
6.Kuua uhuru wa kujieleza kwa wananchi kama vile kufungia mitandao ya kijamii kama twitter na kukamata wanaotumia mitandao mingine kumkosoa.
7.Kuiba kura kwa kutumia Polisi,jeshi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi.
8.Kuua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.
9.Kudanganya katika takwimu za ukuaji wa uchumi wa nchi.
10.Kuweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake,yaani mhimili wa urais,bunge na mahakama.
11.Kuua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.
12.Kuua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.
13.Kuhakikisha kuwa akina Ben Saanane na Azory Gwanda walikipata cha mtema kuni.
14.Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi katika wilaya ya Chato na kujaza wasukuma serikalini.
15 Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic viable zone.
16.Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi.Imagine mtu anafanya ubaguzi wa rangi karne ya 21!Is this not insane?
17.Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.
18.Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.
19.Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.
20.Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia kampuni yake ya Mayanga constructions LTD.Mfano uwanja wa Chato umetengenezwa na kampuni hii bila tenda kuitwa.
21.Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima na kuwatupa korokoroni bila dhamana.
22.Kugushi report ya CAG ya hasara za mabilion za ndege za ATCL na kuilazimisha ATCL watoe gawio fake kwa serekali.
23.Kupora utajiri halali na wa jasho wa matajiri wa Tanzania kwa kuwabambikizia kesi fake za kuhujumu uchumi na kuwalazimisha wakiri makosa ya uwongo kisha kuwafilisi mali zao.
24.Ufisadi na wizi wa kutisha kama ulivyoibuliwa na CAG mara baada ya dikteta kufa.
Hakika inabidi tujiweke Pembeni tumchore Mama KwanzaNjema kabisa mkuu. Tunaendelea kujifunza kutoka kwenye utawala wa kurithi
Nataka Hashim Rungwe awe Rais.Hujanijibu swali langu.