complex31
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 578
- 1,729
Russia alishikana mikono na kina Putin na wengine, rejea video za huko Slava regionKwa Mujibu wa mafundisho ya kiisalamu mwanamke ambaye unaweza kumuoa hairuhusiwi kusalimiana naye kwa kushikana mikono au kumgusa au kumkumbatia. Unaweza kumshika mkono, kumkumbatia na kumbusu mama yako mzazi, Dada yako kaka yako.