Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,142
- 6,947
Lazima wabishe, wamezoea kudanganywa, ukweli hawajauzoea. Nyuzi za uongo, ndio wanazopenda.Chadomo na Sukuma gang watabisha
Hivi tutaacha lini kuleta upuuzi kama huu? Nimeona na gazeti la mwananchi nalo limerambishwa asali!Filam ya Tanzania Royal Tour,imeelezwa kuchangia kupandisha thamani ya madini ya Tanzanite.
Bei ya madini ya Tanzanite na uhitaji wa madini hayo umeongezeka maradufu baada ya filamu ya Royal Tour kumuonyesha Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye machimbo ya madini hayo.
Katika sehemu ya filamu hiyo,inamuonyesha mkuu huyo wa nchi akiwa katika machimbo hayo yaliyopo mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa w Manyara.
Hayo yalibainishwa juzi Alhamisi Julai 21,2022 na mmoja kati ya wakurugenzi wa kampuni ya Franone mining and Gems Ltd,Vitus Ndakize.Bei ya gram ilikuwa ni 400,000,ila sasa 600,000.
Kwako hazina tija ila kwa wengine tija ipo.Sifa za kidwanzi zisizo a tija kwenye jamii.
Hakuna tija kivipi?Sifa za kidwanzi zisizo a tija kwenye jamii.
Anajuwa sana zina tija, kutoka sh 400000 mpaka 600000, ongezeko la 200000, kusiwe na tija kivipi.Kwako hazina tija ila kwa wengine tija ipo.
HIYO THAMANI INA TIJA GANI KWA WATANZANIA?Chadomo na Sukuma gang watabisha
Hujui kama bei ikipanda,na pato la Taifa linaongezeka.Soko likiwa kubwa na pato la Taifa linaongezeka,na pato la Taifa likiongezeka,ndio huduma za jamii zinaongezeka.HIYO THAMANI INA TIJA GANI KWA WATANZANIA?
Sifa za kidwanzi zisizo a tija kwenye jamii.
Amekuwekea ushahidi upi?Huu ndio uzi wa ukweli,haupati wachangiaji,ila nyuzi za uongo mtupu,zisizo na ushahidi,ndio zinazopata wachangiaji.
Amekuwekea ushahidi upi?
RubbishFilam ya Tanzania Royal Tour,imeelezwa kuchangia kupandisha thamani ya madini ya Tanzanite.
Bei ya madini ya Tanzanite na uhitaji wa madini hayo umeongezeka maradufu baada ya filamu ya Royal Tour kumuonyesha Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye machimbo ya madini hayo.
Katika sehemu ya filamu hiyo,inamuonyesha mkuu huyo wa nchi akiwa katika machimbo hayo yaliyopo mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa w Manyara.
Hayo yalibainishwa juzi Alhamisi Julai 21,2022 na mmoja kati ya wakurugenzi wa kampuni ya Franone mining and Gems Ltd,Vitus Ndakize.Bei ya gram ilikuwa ni 400,000,ila sasa 600,000.
Aliyesema ni mkurugenzi wa kampuni ya madini,tumia akili,huyu yupo jikoni,kwenye Tanzanite.Wewe uko nje ya mfumo,tutakusiliza wewe uliyeko nje ya mfumo wa Tanzanite.Kupanda thamani ya madini yoyote haihusiani na royal tour, hiyo ni impact ya demand duniani hata dhahabu na almasi bei imepanda kipindi hiki cha high season hua uhitaji ni mkubwa na hua tanzanite inashuka thamani low season, hata dhahabu kipindi cha mvua hushuka bei kidogo, mnaanza kuleta sifa za jiwe sasa mnazidisha chumvi, maana jiwe ilikua lolote zuri mazuzu yake lazima yamhusishe kama ilivo mazuzu ya samia nayo yameshika usukani.
Wewe imekusaidia bila kujijus, unafikiri mpaka ukatumia Internet, ni mojawapo ya miundombinu inayotegemea pato la Taifa. Mbali hatujagusa, barabara, madaraja, Hospital, nk.Rubbish
Tanzanite ipo miaka yote imemsaidia nini Mtanzania wa kawaida?
Acheni kusifia upuuzi