Rais Samia aongeza viwanda vipya 30,000

Awamu hii imeipiku awamu ya tano kwa vitendo vya utekaji, utesaji, ufiraji, kupoteza na kuua wapinzani hasa Chadema.
 
Awamu hii imeipiku awamu ya tano kwa vitendo vya utekaji, utesaji, ufiraji, kupoteza na kuua wapinzani hasa Chadema.
 
Ni vile vya Wachina vinavyotengeneza Jack Daniel’s kule Mbagala
 
Karakana, tailoring marts, mashine za kusaga na kukoboa pia zinahesabiwa kuwa ni viwanda
 
Blenda ya mange umeihesabu kama kiwanda pia ee?
 
Kazi imefanyika Oktoba Tunatiki
 
Hivo viwanda vime ajiri marobotiii au?
Hakunà .nchi ambayo raia wote wanafanya KAZI
hija dhaifu! kutoka kwa chawa mchafu wa magamba ya kijani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…