Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,579
- 2,906
mama anastahili kwa kweli hata afike 2035 sawa tuKazi na iendelee Mitano hamtoshi
Katiba hairuhusu wewe Chawamama anastahili kwa kweli hata afike 2035 sawa tu
kati yangu mimi na wewe nani ni chawaKatiba hairuhusu wewe Chawa
==
Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na jumla ya Viwanda 50,000.
Miaka minne ya Rais Samia Tanzania imefikia jumla ya Viwanda 80,128 sawa na viwanda vipya 30,128 ambavo ni sawa na ongezeko la 60.3% ndani ya miaka minne(4) .
Tanzania kwa sasa inaziada ya tani 3m za sementi ambapo tumefikia tani 10milioni juu ya lengo la tani 7milioni, Pia kwa sasa Tanzania inaziada ya Bati(Msauzi) tani 130milioni kwa kuwa na akiba ya tani 260milioni kutoka hitaji la tani 130milioni.
View: https://www.youtube.com/live/sXTjrzsHUwU?si=kSsjr54A8rPZcZkE
Sijawahi kuwa chawa wa mtu yeyetekati yangu mimi na wewe nani ni chawa
Vijana gani hawana ajiraLakini
vijana hawana ajira
swali zuriVijana gani hawana ajira
==
Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na jumla ya Viwanda 50,000.
Miaka minne ya Rais Samia Tanzania imefikia jumla ya Viwanda 80,128 sawa na viwanda vipya 30,128 ambavo ni sawa na ongezeko la 60.3% ndani ya miaka minne(4) .
Tanzania kwa sasa inaziada ya tani 3m za sementi ambapo tumefikia tani 10milioni juu ya lengo la tani 7milioni, Pia kwa sasa Tanzania inaziada ya Bati(Msauzi) tani 130milioni kwa kuwa na akiba ya tani 260milioni kutoka hitaji la tani 130milioni.
View: https://www.youtube.com/live/sXTjrzsHUwU?si=kSsjr54A8rPZcZkE
wewe unaishi wapiHivyo viwonda si wangevitaja hata buku tu!.
Hivi ni vile viwanda vya enzi za bwana Kaijage cherehani nne tayari kiwanda.Hivyo viwanda viko wapi jamani,hv unaijua idadi ya 80,000
Tupe list na location vinginevyo uzi huu ni batili
ndio hivi hivi vinaendeleaHivi ni vile viwanda vya enzi za bwana Kaijage cherehani nne tayari kiwanda.