PreGE2025 Rais Samia anataka mitano tena akafanye nini zaidi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Benson Mramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
766
Reaction score
1,884
Binafsi ningekuwa mshauri wa Rais ningemshauri katika kipindi hiki kifupi awape Watanzania Either Tume huru ya Uchaguzi au Katiba Mpya au vyote halafu asigombee tena Urais.

Kwanini? Kwasababu mpaka kufikia October mwaka huu Mungu ajaliapo Bwawa la Nyerere litakuwa na Jina lake, SGR lots zote zina jina lake tayari, madaraja ya Tanzanite, Magufuli n.k yana jina lake, Airports Msalato itakuwa na jina lake, Meli kubwa nchini ya Mwanza kule itakuwa na jina lake unaweza kutaja na kutaja

Mama Samia akiunda Tume huru tu ya uchaguzi halafu akatangaza kutogombea akasimamia uchaguzi huru na haki hadi tukapata mrithi wake Legacy hiyo hata Mwalimu Nyerere inaweza kuwa challenged.

Kwenye Biblia ipo hadithi ya Musa na Joshua. Musa aliishia njiani Joshua akawaingiza watu nchi ya ahadi ila alipofika hakuwa mfalme alisimamia mchakato wa kuwapa wana wa Israel mfalme na kuwawekea utaratibu wa namna ya kuendesha nchi yao.

Binafsi namuona Mama Samia kwenye nafasi ya Joshua. Hana sababu ya kugombea tena maana hatakuwa na jipya la kufanya
 
Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
waliomzunguka wamemuweza ,kuja kuanza kufundisha mpya mipango hewa Huwa inakuaje ....Hilo hapana ,ngoja kwanza mama apige kumi mingine

nkurunziza wa kike huyu
 
Binafsi ningekuwa mshauri wa Rais ningemshauri katika kipindi hiki kifupi awape Watanzania Either Tume huru ya Uchaguzi au Katiba Mpya au vyote halafu asigombee tena Urais.

Kwanini? Kwasababu mpaka kufikia October mwaka huu Mungu ajaliapo Bwawa la Nyerere litakuwa na Jina lake, SGR lots zote zina jina lake tayari, madaraja ya Tanzanite, Magufuli n.k yana jina lake, Airports Msalato itakuwa na jina lake, Meli kubwa nchini ya Mwanza kule itakuwa na jina lake unaweza kutaja na kutaja

Mama Samia akiunda Tume huru tu ya uchaguzi halafu akatangaza kutogombea akasimamia uchaguzi huru na haki hadi tukapata mrithi wake Legacy hiyo hata Mwalimu Nyerere inaweza kuwa challenged.

Kwenye Biblia ipo hadithi ya Musa na Joshua. Musa aliishia njiani Joshua akawaingiza watu nchi ya ahadi ila alipofika hakuwa mfalme alisimamia mchakato wa kuwapa wana wa Israel mfalme na kuwawekea utaratibu wa namna ya kuendesha nchi yao.

Binafsi namuona Mama Samia kwenye nafasi ya Joshua. Hana sababu ya kugombea tena maana hatakuwa na jipya la kufanya
Hopeless kabisa, mamako ana sifa ya kugombea?
 
Back
Top Bottom