hahaaa mna maneno manajua kupika mlenda vzr au sio sifa hyoHopeless kabisa, mamako ana sifa ya kugombea?

Wivu tu! Wewe umeanza kuandika makala nipo High School. Leo nina watoto wako chuo kikuu bado unaandika tu, halafu Rais Samia aliyekaa kwenye Urais miaka minne unaona hana haja ya kuendelea kuwa Rais? Mawazo haya ya kipumbavu mnayo ninyi wajuaji wa Kiafrika!Binafsi ningekuwa mshauri wa Rais ningemshauri katika kipindi hiki kifupi awape Watanzania Either Tume huru ya Uchaguzi au Katiba Mpya au vyote halafu asigombee tena Urais.
Kwanini? Kwasababu mpaka kufikia October mwaka huu Mungu ajaliapo Bwawa la Nyerere litakuwa na Jina lake, SGR lots zote zina jina lake tayari, madaraja ya Tanzanite, Magufuli n.k yana jina lake, Airports Msalato itakuwa na jina lake, Meli kubwa nchini ya Mwanza kule itakuwa na jina lake unaweza kutaja na kutaja
Mama Samia akiunda Tume huru tu ya uchaguzi halafu akatangaza kutogombea akasimamia uchaguzi huru na haki hadi tukapata mrithi wake Legacy hiyo hata Mwalimu Nyerere inaweza kuwa challenged.
Kwenye Biblia ipo hadithi ya Musa na Joshua. Musa aliishia njiani Joshua akawaingiza watu nchi ya ahadi ila alipofika hakuwa mfalme alisimamia mchakato wa kuwapa wana wa Israel mfalme na kuwawekea utaratibu wa namna ya kuendesha nchi yao.
Binafsi namuona Mama Samia kwenye nafasi ya Joshua. Hana sababu ya kugombea tena maana hatakuwa na jipya la kufanya
Mshangazi wako hawezi kukuelewaBinafsi ningekuwa mshauri wa Rais ningemshauri katika kipindi hiki kifupi awape Watanzania Either Tume huru ya Uchaguzi au Katiba Mpya au vyote halafu asigombee tena Urais.