Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,951
- 6,623
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni πKila siku utasikia,"Rais kajenga barabara hapa:Rais katujengea zahanati."
Watu wanamwabudu Rais,na yeye hafanyi kitu chochote kuwazuia. Haya ndiyo mambo yanayomchukiza Mungu.
Kwa ajili Uchaguzi Mkuu unakaribia,acha watu wanisifie zaidi na zaidi.
Magufuli hakuwa anasifiwa namna hii; ingawa watu walikuwa wanasema huyu mtu kaongoza nchi siku kidogo tu,lakini nchi yetu imepata maendeleo kama Ulaya.
Marekani utasikia mara moja moja wanasema,"The Biden Education Programme,au The Biden Housing Project,lakini hii ni kwa sababu Kuna strong Opposition Party,na wanataka kutofautisha mambo.
Kikwete mara moja tu walikuwa wanaongea kuhusu " mamilioni ya Kikwete". Lakini kila siku tunasikia kuhusu " mamilioni ya Samia".
Hata ukimpa mtoto mdogo peremende,lazima uhakikishe kwamba yule mtoto anamsifu Mungu.
Kwa hiyo wajihadhari hawa watu wote wanaotaka kuitwa "superstar"
Mwingine huyu hata usingizi hapati, akilala anaota kusifia, akiamka ni kusifia tu mchana kutwa, hii tabia inaweza kuwaathiri kisaikolojia, iacheni kwa usalama wa afya zenu.mnyonge mnyongeni haki yake mpeni [emoji205]
ili kutofatisha na wengine, rais comrade Dr SSH anapiga kazi na for sure ana mipango na ana malengo na waTanzania,
ukweli usemwe,
kiuchumi Dr.SSH yupo mstari wa mbele kabisa kuupaisha,
kisiasa Dr SSH yupo mstari wa mbele sana kuimarisha demokrasia,
kijamii Dr.SS yupo mstari wa mwanzo kabisa kuhakikisha miundombinu na huduma za jamii zinawafikia waTz wote kwa uhakika na zinawatisheleza [emoji205]
anaachaje kusifiwa kila uchwao [emoji205]
na vip wale wa mihemko na malalamiko kwa kila lililo jema kwao baya [emoji205]
uvivu ni adui mkubwa sana kwa ujenzi wa Taifa πMwingine huyu hata usingizi hapati, akilala anaota kusifia, akiamka ni kusifia tu mchana kutwa, hii tabia inaweza kuwaathiri kisaikolojia, iacheni kwa usalama wa afya zenu.
Kuna cku nliwakuta vjana flani wakinywa "banana" zao baada ya kutoka porini walikoenda kukata majani ya ng'ombe wakixema "namshukuru mama, nimefikisha mzigo wa watu salama", na mwenzao akaitikia "hata mimi"!! inatia kinyaa-hata wenye akili zao wanasujudu hadharani ...dah!Kila siku utasikia,"Rais kajenga barabara hapa:Rais katujengea zahanati."
Watu wanamwabudu Rais,na yeye hafanyi kitu chochote kuwazuia. Haya ndiyo mambo yanayomchukiza Mungu.
Kwa ajili Uchaguzi Mkuu unakaribia,acha watu wanisifie zaidi na zaidi.
Magufuli hakuwa anasifiwa namna hii; ingawa watu walikuwa wanasema huyu mtu kaongoza nchi siku kidogo tu,lakini nchi yetu imepata maendeleo kama Ulaya.
Marekani utasikia mara moja moja wanasema,"The Biden Education Programme,au The Biden Housing Project,lakini hii ni kwa sababu Kuna strong Opposition Party,na wanataka kutofautisha mambo.
Kikwete mara moja tu walikuwa wanaongea kuhusu " mamilioni ya Kikwete". Lakini kila siku tunasikia kuhusu " mamilioni ya Samia".
Hata ukimpa mtoto mdogo peremende,lazima uhakikishe kwamba yule mtoto anamsifu Mungu.
Kwa hiyo wajihadhari hawa watu wote wanaotaka kuitwa "superstar"
πππ Unauhakika lakini..? Hivi kiongozi wa malaika alikua nani..?Magufuli hakuwa anasifiwa namna hii;
Mimi nimeshaamka sio wa kuamshwa na chawa, hiyo namba uweke wewe unaeimba mapambio ya Samia zaidi ya hayo unayoenda kuimba huko ibadani.uvivu ni adui mkubwa sana kwa ujenzi wa Taifa [emoji205]
Amka ufanye mazoezi ya mwili kidogo uwahi ibadani,
upo unahemka tu na kughadabishwa na Ukweli wa mambo ya Dr SSH[emoji205]
.
au kibando kina expired as soon as possible [emoji1787]
weka kanamba bas ubustiwe
Rais anasifiwa wew unaumia π€£Mimi nimeshaamka sio wa kuamshwa na chawa, hiyo namba uweke wewe unaeimba mapambio ya Samia zaidi ya hayo unayoenda kuimba huko ibadani.
Awamu hii watu wanaiba sana fedha na hawafanuwi chochote ndo manan Kila mwizi anamusifiaKila siku utasikia,"Rais kajenga barabara hapa:Rais katujengea zahanati."
Watu wanamwabudu Rais,na yeye hafanyi kitu chochote kuwazuia. Haya ndiyo mambo yanayomchukiza Mungu.
Kwa ajili Uchaguzi Mkuu unakaribia,acha watu wanisifie zaidi na zaidi.
Magufuli hakuwa anasifiwa namna hii; ingawa watu walikuwa wanasema huyu mtu kaongoza nchi siku kidogo tu,lakini nchi yetu imepata maendeleo kama Ulaya.
Marekani utasikia mara moja moja wanasema,"The Biden Education Programme,au The Biden Housing Project,lakini hii ni kwa sababu Kuna strong Opposition Party,na wanataka kutofautisha mambo.
Kikwete mara moja tu walikuwa wanaongea kuhusu " mamilioni ya Kikwete". Lakini kila siku tunasikia kuhusu " mamilioni ya Samia".
Hata ukimpa mtoto mdogo peremende,lazima uhakikishe kwamba yule mtoto anamsifu Mungu.
Kwa hiyo wajihadhari hawa watu wote wanaotaka kuitwa "superstar"
Naachaje kuumia navyokuona unaelekea kuugua ugonjwa wa akili...Rais anasifiwa wew unaumia [emoji1787]
MkuuKila siku utasikia,"Rais kajenga barabara hapa:Rais katujengea zahanati."
Watu wanamwabudu Rais,na yeye hafanyi kitu chochote kuwazuia. Haya ndiyo mambo yanayomchukiza Mungu.
Kwa ajili Uchaguzi Mkuu unakaribia,acha watu wanisifie zaidi na zaidi.
Magufuli hakuwa anasifiwa namna hii; ingawa watu walikuwa wanasema huyu mtu kaongoza nchi siku kidogo tu,lakini nchi yetu imepata maendeleo kama Ulaya.
Marekani utasikia mara moja moja wanasema,"The Biden Education Programme,au The Biden Housing Project,lakini hii ni kwa sababu Kuna strong Opposition Party,na wanataka kutofautisha mambo.
Kikwete mara moja tu walikuwa wanaongea kuhusu " mamilioni ya Kikwete". Lakini kila siku tunasikia kuhusu " mamilioni ya Samia".
Hata ukimpa mtoto mdogo peremende,lazima uhakikishe kwamba yule mtoto anamsifu Mungu.
Kwa hiyo wajihadhari hawa watu wote wanaotaka kuitwa "superstar"
wakosoaji hawaelewani, hawaaminiani, wamegawanyika, ni mahasimu na maadui wakubwa miongoni mwao na kwahivyo kubwekabweka kwao ni kelele za kawaida tyuu, zinakuepo zinaisha, hamna mahali wanaenda, hamna kitu watafanya wala kufanyika πAwamu hii watu wanaiba sana fedha na hawafanuwi chochote ndo manan Kila mwizi anamusifia
Hawa ndio waliosajiliwa Jf mwaka Jana ili waje kusifiasifiaMwingine huyu hata usingizi hapati, akilala anaota kusifia, akiamka ni kusifia tu mchana kutwa, hii tabia inaweza kuwaathiri kisaikolojia, iacheni kwa usalama wa afya zenu.