Ndo nimesema
Ndo nimesema
Lema?"Jambazi" akapaza sauti.....
Niliacha wizi wa magari nikawa mfuasi wa huyu "jamaa" ila nimegundua "jamaa" ni dalali tu wa siasa.....bora niende miguuni pa mama....
Jambazi akili zimemkaa sasa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Haichekeshi.Au baachiii ?!!!
Mh.Rais SSH amewafanya desh desh kuwa ndembendembe
#Mama Anaupiga Mwingi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Binafsi sijaona kama alijenga au kujibu hoja za wanaomkosoa nimeona akiongea utadhani yupo kwenye mipasho yakina mama.
Mtamuua mama wa watu jamani punguzeni mashambulizi.Pumzi imekata mapema sana. Ameshindwa kuvumilia hoja za Chadema