Rais Samia anaiua CHADEMA polepole

Rais Samia anaiua CHADEMA polepole

Fahari ya kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
427
Reaction score
1,668
Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.

Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei 😆 🤣 😂 😹.

Bye bye chadema na upinzani
 
Nimependa akili ambazo Rais samia amezitumia kuiua chadema kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.

Amewaita ikulu amewapa posho,kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka( wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei 😆 🤣 😂 😹.

Bye bye chadema na upinzani
Wewe endeleza propaganda zako za ki-ccm..........

Hivi unawezaje kuita kuwa hatua ya kufungulia mikutano ya hadhara Kwa vyama vya kisiasa, kama ni kifo Cha Chadema, badala ya kusema Chadema ndiyo imepaishwa sana kisiasa?

Kwanza hujiulizi, ni kwanini Rais wa awamu iliyopita alipiga marufuku mikutano ya kisiasa, kama siyo woga wake mkubwa Kwa chama kikuu Cha siasa cha Chadema?

Kiukweli hivi Sasa chama Cha Chadema, ndicho kitakachokuwa na mvuto kuliko chama chochote Cha siasa nchini, kutokana na msimamo wake na kukemea uonevu na hila zinazofanywa na CCM, wakishirikiana na vyombo vya dola
 
Mkuu, ukiondoa uchama, kuna meseji naona unataka kuileta ila umezingirwa na uchama zaidi.

Nilivyokuelewa, unasema kaa-tiba ikifumulia kwa mamlaka ya sasa, Taa-gan-yika ndo inauliwa mazima, kisiwa kinatamalaki kwa mujibu wa msaafu mpya wa ardhi?

Baadae walalamike tena kutaka msaafu mwingine?

Usiseme haiwezekani, si mapesa chungu tele yalishatumika kufanya kazi hiyo hiyo? Nini kilishindikana?

Kama yale maoni amesema mengine yamepitwa na wakati, anamaanisha ile kamati ilikuwa inayengeneza msaafu wa ku-expire baada ya miaka 8 tu?

Haya, tuendelee sasa na Chadema, ulikuwa unasema.
 
Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.

Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei 😆 🤣 😂 😹.

Bye bye chadema na upinzani
Miss mia, kuna kitu hujakijua, CHADEMA ni gudude fulani kubwa sana. CCM, polisi, jeshi, mahakama, bunge, mahakama, magereza, na mifumo yote chini ya Nduli walishindwa kuimaliza. Samia peke yake hatoweza na hilo amelijua.

If you can't fight them, join them
 
Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.

Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei .

Bye bye chadema na upinzani
Kwa wenye akili ndogo hawataelewa ila ndo wameisha ivo
 
Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.

Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei 😆 🤣 😂 😹.

Bye bye chadema na upinzani
Mrembo unamualika Kingai kwa mlango wa nyuma! Unajua hizi prediction zako zaweza kutumika na kufunguliwa kesi ya kumkashifu mkuu wa nchi kwa kumpandikizia fikra zako potofu na watu wanaamini na kufanya vurugu?
Hata Kama ni uchawa fanyeni wa kistaarabu na siyo huu wa kipumbavu wenye kuibomoa jamii huku mh. Rais akipambana kuijenga na kuiunganisha kwa nguvu.
Lucas Mwashamba na Sufiani hebu waelimisheni chawa wenzenu namba ya kufanya uchawa wenye afya.
 
Wewe endeleza propaganda zako za ki-ccm..........

Hivi unawezaje kuita kuwa hatua ya kufungulia mikutano ya hadhara Kwa vyama vya kisiasa, kama ni kifo Cha Chadema, badala ya kusema Chadema ndiyo imepaishwa sana kisiasa?

Kwanza hujiulizi, ni kwanini Rais wa awamu iliyopita alipiga marufuku mikutano ya kisiasa, kama siyo woga wake mkubwa Kwa chama kikuu Cha siasa cha Chadema?

Kiukweli hivi Sasa chama Cha Chadema, ndicho kitakachokuwa na mvuto kuliko chama chochote Cha siasa nchini, kutokana na msimamo wake na kukemea uonevu na hila zinazofanywa na CCM, wakishirikiana na vyombo vya dola
Umejizima data? Iko hivi, kwa sasa agwnda ya chadema itakuwa ni kumchafua magufuli na kumsifia samia. Hutasikia ajenda ya katiba mpya, tozo, mfumuko wa bei wala mambo ya moja kwa moja yanayowaumiza wananche. Watakuwa wameahidiwa majimbo machache ili upinzani urudi tena bungeni. Kiufupi chadema imemalizwa maana hawayagusa agenda za wananchi tena. Asali imejaa midomoni mwa viongozi wa cdm.
 
Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA ....

Amewaita ikulu akawaambia tufanye maridhiano ....

Bye bye chadema na upinzani ....

1. Kwahiyo Raisi Samia alitumia akili kuwaita CHADEMA

2. Baada ya kuwaita Rais Samia akawaambia Turidhiane

3. Kwa kufanya hivyo kaua upinzani kwa bye bye

NB:
1. Kwa msingi huo unataka kutuambia kuwa CCM aliomba maridhiano kwa CHADEMA

2. Umesahau yule alietaka kuua upinzani kwa kutumia rasimali za Taifa ambae alisimamisha shughuli za maendeleo ya nchi zikawa shughuli za kuiua CHADEMA kwa kuteka, kuua, kudhulumu na kuiba alikufa yeye CHADEMA ipo palepale
 
Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.

Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei 😆 🤣 😂 😹.

Bye bye chadema na upinzani
Kwenye uzi wangu huu Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye? nilisema
Serikali inaweza kabisa kuwa imeona inakwenda kushindwa kwa aibu na fedheha, hivyo ili kuepuka aibu ya kushindwa kwa fedheha, hivyo DPP, anaweza kupeleka Nolle. Hili lilifanyika, litamfanya Mbowe kuonekana shujaa, na akiachiwa kwa Nolle, huo moto wake ni usipime!.

Nawatakia Krismasi Njema.

Paskali.
Ni kweli Mbowe amekuja kuachiwa kwa Nolle, badala ya kuuona ule moto wa usipime, breki ya kwanza ni Ikulu, Mama opened up for him and stretched her hands and embrace him!. He cried, they both cried!. Mama akamuahidi Mbowe utapata kila utakacho, na kweli Mbowe ni kila uchao Ikulu!, huku Chadema nako tukaona mambo yameanza kwenda, vikao vilivyoshindikana kuitiswa, kutokana na ukata, mara ghafla fedha zimepatikana, vikao vikaitishwa, mara trips za overseas fully paid!.

The next stage baada ya mikutano kuruhusiwa ni restoration of his past glory, kwa kuteuliwa ubunge viti vya rais, wale 19 Chadema itawasamehe, Bungeni wataondolewa, Chadema itatea wabunge 19 wengine ila Halima, Bulaya Matiko na Hanje wateuliwa tena, bila kukasahau kale kadogoo Upendo Peneza. Kanuni za Bunge zitapindishwa kuunda kambi ya upinzani Bungeni, Mbowe atapewa uenyekiti, hata Zitto atateuliwa ubunge!.

Hapa sasa wataendesha siasa shingo chini!.
P
 
Inaonekana umeumia sana serikali kujaribu kuleta maridhiano ya vyama. Hii inarudisha umoja ambao ulipotea kipindi cha katikati.

Wewe utakuwa miongoni mwa yale makundi yaliyo faidika kwa Ubunge wa dezo dezo wa Magufuli.
 
Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.

Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei 😆 🤣 😂 😹.

Bye bye chadema na upinzani

Mara CHADEMA imekufa , Mara anaiua CHADEMA polepole. CHADEMA imezuiliwa kufanya mikutano miaka 7 , leo zuio limeondolewa unasema wanakufa. Wameshindwa kufa miak Saba wafe leo?
 
Back
Top Bottom