Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Fisadi alitoka ccm akaenda CHADEMA, kisha akarudi kwao ccm, chama cha mafisadiChadema walijiua wenyewe baada ya kuanza kutetea mafisadi
Fisadi alitoka ccm akaenda CHADEMA, kisha akarudi kwao ccm, chama cha mafisadiChadema walijiua wenyewe baada ya kuanza kutetea mafisadi
Kwenye uzi wangu huu Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye? nilisema
Ni kweli Mbowe amekuja kuachiwa kwa Nolle, badala ya kuuona ule moto wa usipime, breki ya kwanza ni Ikulu, Mama opened up for him and stretched her hands and embrace him!. He cried, they both cried!. Mama akamuahidi Mbowe utapata kila utakacho, na kweli Mbowe ni kila uchao Ikulu!, huku Chadema nako tukaona mambo yameanza kwenda, vikao vilivyoshindikana kuitiswa, kutokana na ukata, mara ghafla fedha zimepatikana, vikao vikaitishwa, mara trips za overseas fully paid!.
The next stage baada ya mikutano kuruhusiwa ni restoration of his past glory, kwa kuteuliwa ubunge viti vya rais, wale 19 Chadema itawasamehe, Bungeni wataondolewa, Chadema itatea wabunge 19 wengine ila Halima, Bulaya Matiko na Hanje wateuliwa tena, bila kukasahau kale kadogoo Upendo Peneza. Kanuni za Bunge zitapindishwa kuunda kambi ya upinzani Bungeni, Mbowe atapewa uenyekiti, hata Zitto atateuliwa ubunge!.
Hapa sasa wataendesha siasa shingo chini!.
P
Kwa wenye akili ndogo hawataelewa ila ndo wameisha ivo
Mimi si mwanasisa
Hujui lolote.Umejizima data? Iko hivi, kwa sasa agwnda ya chadema itakuwa ni kumchafua magufuli na kumsifia samia. Hutasikia ajenda ya katiba mpya, tozo, mfumuko wa bei wala mambo ya moja kwa moja yanayowaumiza wananche. Watakuwa wameahidiwa majimbo machache ili upinzani urudi tena bungeni. Kiufupi chadema imemalizwa maana hawayagusa agenda za wananchi tena. Asali imejaa midomoni mwa viongozi wa cdm.
kashindwa MEKO atawezaje huyu anaeburuzwa na mzee wa msoga?Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.
Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei 😆 🤣 😂 😹.
Bye bye chadema na upinzani
Umejizima data? Iko hivi, kwa sasa agwnda ya chadema itakuwa ni kumchafua magufuli na kumsifia samia. Hutasikia ajenda ya katiba mpya, tozo, mfumuko wa bei wala mambo ya moja kwa moja yanayowaumiza wananche. Watakuwa wameahidiwa majimbo machache ili upinzani urudi tena bungeni. Kiufupi chadema imemalizwa maana hawayagusa agenda za wananchi tena. Asali imejaa midomoni mwa viongozi wa cdm.
Fisadi mwenyewe yuko CCM chama la mafisadi papaWalimtetea fisadi gani? Na huyo fisadi hakamatwi na serikali ya CCM ?
Siyo kwa kufyekwa kule aseeee looooh aroooooooSukuma Gang mnaumia sana kwa Samia kuachana na siasa za kishenzi alizoasisi yule mungu wenu aliyefyekwa na corona
Huyu atakuwa mhutu kama mwendazake, sisi Wasukuma hatunaga roho mbaya hiviWewe mnafiki ndio maana umepata kura moja. Aliyeenda Ikulu ni Mbowe au aliitwa na mama ikulu?. Mama kamatangaza Mbowe gaidi hadharani kaona kakosea kamwita Mbowe kuomba radhi , shida ipo wapi?.
Punguza roho mbaya wewe.
Unayesema anaua na kuteka na huyu wa maridhiano alikuwa ughaibuni?1. Kwahiyo Raisi Samia alitumia akili kuwaita CHADEMA
2. Baada ya kuwaita Rais Samia akawaambia Turidhiane
3. Kwa kufanya hivyo kaua upinzani kwa bye bye![]()
NB:
1. Kwa msingi huo unataka kutuambia kuwa CCM aliomba maridhiano kwa CHADEMA
2. Umesahau yule alietaka kuua upinzani kwa kutumia rasimali za Taifa ambae alisimamisha shughuli za maendeleo ya nchi zikawa shughuli za kuiua CHADEMA kwa kuteka, kuua, kudhulumu na kuiba alikufa yeye CHADEMA ipo palepale
Nilikuwa sijui, lile jengo Lina ulinzi mkali sana, kinachoendelea ndani ni tafsiri sahihi ya sirikaliKwamba ulikuwa haujui? Au ?
Umejitajidi sana kujionyesha ulivyo. Waswahili wamenena "DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE"Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.
Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei 😆 🤣 😂 😹.
Bye bye chadema na upinzani
Na huyu dhalim wenu alifanyaje hapa?Nyie si ndiyo mlipiga kelele kwamba lowassa ni fisadi? Mnajizima data?
Wakuiua CHADEMA alishakufa...Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.
Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei 😆 🤣 😂 😹.
Bye bye chadema na upinzani
ALIYEKUFUNDISHA kunya njia panda alikuachia mkosi mkubwaNimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.
Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei![]()
![]()
![]()
.
Bye bye chadema na upinzani
Ndani ya miaka 6 hii,nitajie maovu ambayo chadema imeyapinga hadharani.Wewe endeleza propaganda zako za ki-ccm..........
Hivi unawezaje kuita kuwa hatua ya kufungulia mikutano ya hadhara Kwa vyama vya kisiasa, kama ni kifo Cha Chadema, badala ya kusema Chadema ndiyo imepaishwa sana kisiasa?
Kwanza hujiulizi, ni kwanini Rais wa awamu iliyopita alipiga marufuku mikutano ya kisiasa, kama siyo woga wake mkubwa Kwa chama kikuu Cha siasa cha Chadema?
Kiukweli hivi Sasa chama Cha Chadema, ndicho kitakachokuwa na mvuto kuliko chama chochote Cha siasa nchini, kutokana na msimamo wake na kukemea uonevu na hila zinazofanywa na CCM, wakishirikiana na vyombo vya dola