Rais Samia anaiua CHADEMA polepole

Rais Samia anaiua CHADEMA polepole

Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.

Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei 😆 🤣 😂 😹.

Bye bye chadema na upinzani

Mtaongea yote. Kipindi CHADEMA waanaandaa maandamano ya ukuta mliwacheka na kuwakebehi, mpaka JWTZ na Polisi wakaingia mitaani kutoa vitisho. Mwisho wa siku kilitokea Nini?

CHADEMA haipo bungeni Wala halmashauri Wala kwenye mitaan na vijiji ila haijafa. Magufuli alitumia kila njia Hadi kununua wabunge ila kafa kaiacha CHADEMA inadunda.
 
Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.

Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei 😆 🤣 😂 😹.

Bye bye chadema na upinzani

CHADEMA umeombewa kifo enzi na enzi ila Bado ipo.
 
Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.

Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei .

Bye bye chadema na upinzani
Mmealikwa watu 18 kwenye sherehe, 17 mnawekwa chini ya mwembe Kwa majadiliano, mmoja anaitwa ndani Peke yake na bado anajitikeza Zuzu anasema aliyeitwa Peke yake harhaminiwi?
 
Rais Samia anastahili pongezi sana. Hataki kuwaskiliza hawa chawa hata kidogo, maana hawana jema. (na hii ndiyo siri ya mafanikio yake). Chawa wanaumia kwa mh raisi kuwaunganisha wa-tz.
 
Back
Top Bottom