Rais Samia ampiku Hayati Magufuli kwenye kila sekta

Mwanahabari Huria

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
297
Reaction score
172
Dar es salaam, Agosti 2025 – Akihutubia Taifa kwenye uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oct 29. 2025, Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imefanikisha mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
Rais Samia alisema kuwa Bajeti ya Serikali imeongezeka kutoka Sh. trilioni 34.9 mwaka 2021 hadi Sh. trilioni 56.49 mwaka 2025, jambo linaloashiria ongezeko la mapato na ufanisi wa ukusanyaji kodi.

Aidha, alibainisha kuwa Pato Ghafi la Taifa (GDP) limeongezeka kutoka Sh. trilioni 156.4 mwaka 2021 hadi Sh. trilioni 205.84 mwaka 2024, likiwa ni uthibitisho wa ukuaji wa uchumi na kuimarika kwa sekta mbalimbali.

Akieleza zaidi, Rais Samia alisema mafanikio hayo yamewezekana kupitia sera thabiti za uchumi, uwekezaji katika miundombinu, pamoja na maboresho ya mazingira ya biashara na uwezeshaji wananchi.

“Tumepiga hatua kubwa. Tuliahidi kuboresha maisha ya Watanzania na leo tuna ushahidi wa mafanikio hayo. Hii ni Serikali inayosikiliza wananchi na kutekeleza,” alisema Rais Samia huku akishangiliwa na maelfu ya wananchi waliohudhuria uzinduzi huo.
Alitaja pia sekta zilizopata msukumo mkubwa kuwa ni elimu, afya, kilimo, nishati na usafirishaji, akisema zote zimechangia kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi.

Rais Samia aliwataka wananchi kuendelea kuiamini Serikali yake kwa kuwa imeonesha matokeo chanya na mipango madhubuti ya kuimarisha ustawi wa Taifa.
===
 
Mpaka kubambikizia kesi wapinzani?
 
Makamu wa Magufuli alafu tena ampiku ?
 
Makamu wa Magufuli alafu tena ampiku ?
Nashangaa sana anampiku vipi. Wakati Samia ametekeleza Ilani ya Magufuli. Afu wana CCM wenzangu ni aibu kuwa tuna linganisha mtu aliyekufa na mtu ambaye yupo hai. Sidhani kama tunashindana na Magufuli sasa. Tuelezee mafanikio ya CCM tangu uhuru hadi leo. Viongozi wote waliopita walikuwa ni wana CCM na walipita kwenye vikaangio vya CCM na tukaona anatosha. Mafanikio yao ni yetu pia na mapungufu yao ni yetu pia. Tutumie muda mwingi kutetea chama siyo mtu. Mtu kawekwa na chama.

MAMA Samia ni bora kwasababu ya CCM. Bila CCM hawezi kuwa bora. Kidumu Chama cha Mapinduzi
 
Dar es salaam, Agosti 2025 – Akihutubia Taifa kwenye uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oct 29. 2025, Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imefanikisha mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
Rais Samia alisema kuwa Bajeti ya Serikali imeongezeka kutoka Sh. trilioni 34.9 mwaka 2021 hadi Sh. trilioni 56.49 mwaka 2025, jambo linaloashiria ongezeko la mapato na ufanisi wa ukusanyaji kodi.

Aidha, alibainisha kuwa Pato Ghafi la Taifa (GDP) limeongezeka kutoka Sh. trilioni 156.4 mwaka 2021 hadi Sh. trilioni 205.84 mwaka 2024, likiwa ni uthibitisho wa ukuaji wa uchumi na kuimarika kwa sekta mbalimbali.

Akieleza zaidi, Rais Samia alisema mafanikio hayo yamewezekana kupitia sera thabiti za uchumi, uwekezaji katika miundombinu, pamoja na maboresho ya mazingira ya biashara na uwezeshaji wananchi.

“Tumepiga hatua kubwa. Tuliahidi kuboresha maisha ya Watanzania na leo tuna ushahidi wa mafanikio hayo. Hii ni Serikali inayosikiliza wananchi na kutekeleza,” alisema Rais Samia huku akishangiliwa na maelfu ya wananchi waliohudhuria uzinduzi huo.
Alitaja pia sekta zilizopata msukumo mkubwa kuwa ni elimu, afya, kilimo, nishati na usafirishaji, akisema zote zimechangia kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi.

Rais Samia aliwataka wananchi kuendelea kuiamini Serikali yake kwa kuwa imeonesha matokeo chanya na mipango madhubuti ya kuimarisha ustawi wa Taifa.
===
Kila kitu
 
Samia ametekeleza mambo mengi mazuri, sijui anashindwaje kuyaweka kichwani akawa anatiririka mbele ya hadhira bila kuyasoma. Kusoma kunapunguza vibe, inakuwa kama mtu kakutuma useme wakati wewe ndio msimamizi mkuu wa kila linalofanyika.
 
Dar es salaam, Agosti 2025 – Akihutubia Taifa kwenye uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oct 29. 2025, Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imefanikisha mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
Rais Samia alisema kuwa Bajeti ya Serikali imeongezeka kutoka Sh. trilioni 34.9 mwaka 2021 hadi Sh. trilioni 56.49 mwaka 2025, jambo linaloashiria ongezeko la mapato na ufanisi wa ukusanyaji kodi.

Aidha, alibainisha kuwa Pato Ghafi la Taifa (GDP) limeongezeka kutoka Sh. trilioni 156.4 mwaka 2021 hadi Sh. trilioni 205.84 mwaka 2024, likiwa ni uthibitisho wa ukuaji wa uchumi na kuimarika kwa sekta mbalimbali.

Akieleza zaidi, Rais Samia alisema mafanikio hayo yamewezekana kupitia sera thabiti za uchumi, uwekezaji katika miundombinu, pamoja na maboresho ya mazingira ya biashara na uwezeshaji wananchi.

“Tumepiga hatua kubwa. Tuliahidi kuboresha maisha ya Watanzania na leo tuna ushahidi wa mafanikio hayo. Hii ni Serikali inayosikiliza wananchi na kutekeleza,” alisema Rais Samia huku akishangiliwa na maelfu ya wananchi waliohudhuria uzinduzi huo.
Alitaja pia sekta zilizopata msukumo mkubwa kuwa ni elimu, afya, kilimo, nishati na usafirishaji, akisema zote zimechangia kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi.

Rais Samia aliwataka wananchi kuendelea kuiamini Serikali yake kwa kuwa imeonesha matokeo chanya na mipango madhubuti ya kuimarisha ustawi wa Taifa.
===
Hasa kwenye kuteka, kutesa na kuua wapinzani hakika Samia amemuacha Magufuli kwa mbali sana.
 
IMG-20250829-WA0040(1).jpg
 
Hii ni kweli
 
Back
Top Bottom