Huteuliwi ng'oUtateuliwa wewe na wahuni wenzako kuongoza genge lenu la wavuta bangi na walioharibikiwa akili kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya.
Kumbe wewe umepata chanjo ndo maana akili zipo hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]Tusisahau pia mama amefanya yafuatayo:-
(a) Ameongeza mishahara ya watumishi na kuwapandisha madaraja. Ikumbukwe dikteta alizuia kwa miaka 5.
(b) Ameondoa zuio batili la vyama vya siasa vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara lililowekwa na dikteta.
(c) Aliruhusu chanjo ya korona iliyokuwa imekataliwa na dikteta.
(d) Ametoa ajira nyingi Sana kwa vijana na bado anaendelea. Dikteta hakuwahi kumuajiri hata kijana mmoja .
(e) Dikteta alijenga uadui kati ya wapinzani na ccm. Mama kaondoa chuki na uadui.
(f) Dikteta alipora fedha za wafanyabiashara wa fedha za kigeni, mama kawarudishia.
(g) Aliwaweka ndani wafanyabiashara na wapinzani kwa makosa ya kubambikiza, mama kawatoa wote .
(h) Dikteta aliunda kikosi cha wasiojulikana kwa lengo la kuua na kuteka wanaomkosoa . Mama kakifagilia mbali kikosi hicho.
Pamoja na mapungufu yake mengi lkn mama ni bora mara 1000 kwa yule dikteta.
Kwako ww Lile shetani lenu la Chato ndo alikuwa Rais!Ukweli ni kwamba utawala mbovu na dhaifu kupata kutokea ndani ya Tanganyika wa kwanza ni awamu ya 4 ya JK kisha ikafuata hii ya Mama!.
Hata upambe namna gani ila huo ndo ukweli hata wao wanajua hivyo tena wanakushangaa.
Hujaelewa!Kufa wewe utuachie nchi yetu maana watanzania siyo vichaa au wendawazimu mpaka tuanze kuuana au kuchinjana kama kuku
Eti wao lile jehu jiwe ndiyo wanaliona bora zaidiKwako ww Lile shetani lenu la Chato ndo alikuwa Rais!
Are you serious kweli!?
Kwanza sisi hatumtaki kabisaAnawasahaulisha kuwa ameuza nchi kwa wajomba zake!!! Unapoainisha mazuri unayosema kafanya usisahau kuwa kuna mabaya pia yakiwemo kuuza bandari za bara na upendeleo wa wazi kwenye teuzi zake kwa wazenz na watu wa imani yake!
Hamumtaki nani.maana ukivutaga bangi zako unakuwa na vituko sana mdogo wangu 😄😄😄Kwanza sisi hatumtaki kabisa
Mjinga wewe, leo naona umepata bando au umeachiwa modem na Katibu? 😱😱😱😱Hamumtaki nani.maana ukivutaga bangi zako unakuwa na vituko sana mdogo wangu 😄😄😄
Mi huwa hata sijui anafanya nini maana sioni cha maana anachofanya zaidi ya kuzunguka zunguka na kukopa hovyo + matumizi makubwa ya hovyo haswaHuyu Mama anaukumbatia Mfumo wa HOVYO wa Uchaguzi hana jipya.
Na amepanga kupora tena Uchaguzi kipindi kile Walipora yeye na Magufuli sasa anaenda kupora yeye na Mpango.
Uwe na adabu kwa kaka yako.mimi sitegemei kununuliwa bando bali napata hela ya bando kwa jasho langu kwa kufanya kazi kwa nguvu na kujituma.Mjinga wewe, leo naona umepata bando au umeachiwa modem na Katibu? 😱😱😱😱
Onyesha leseni ya biashara yako, hahahaha wewe ni PS wa UWT ChunyaUwe na adabu kwa kaka yako.mimi sitegemei kununuliwa bando bali napata hela ya bando kwa jasho langu kwa kufanya kazi kwa nguvu na kujituma.
Mimi ni mkulima na siyo mfanyabiashara.kwa hiyo jembe ndio kitega uchumi changu cha kunipatia pesaOnyesha leseni ya biashara yako, hahahaha wewe ni PS wa UWT Chunya
Namba za nini sasa? Au wewe ni shoga unajitangaza kimtindo?Mimi siandiki hapa jukwaani kwa ajili ya kutafuta uteuzi ndugu yangu
Wajinga ndivyo mlivyoNaunga mkono hoja.
P
Ubarikiwe sana.Wajinga ndivyo mlivyo
Wewe huna akili kabisa .hili siyo jukwaa la wahuni au wavuta bangi.acha kutukana watu matusi pasipo sababu kisa tu umekosa malezi mazuri ya mama yako na kujikulia tu kama vifaranga vilivyo achwa. Jiheshimu na siyo kuropoka ropoka tu humu kama kichaa au mgonjwa wa akili.Wajinga ndivyo mlivyo