Rais Samia ameutendea haki Urais

Rais Samia ameutendea haki Urais

Wewe Pascal ni mtu mzima, umeona mengi n najua unaakili za kutosha. Ushauri wako ni wa kumpoteza huyo ndugu badala ya kumjenga.

Mtu yeyote mwenye akili timamu liko wazi maudhui ya uandishi huu ambao unafanana na wako unalenga kuonesha uzalendo ili kupata teuzi. Hii sio sawa, tunaiharibu sana hii nchi kwa tabia hizo. Tujikite kwenye kumsaidia Rais afanye kazi, kusifu na kuabudu tufanye kanisani. Tumuachiw Makonda kazi yake.

Na unga mkono kuandika kwa kurekekebisha uongo, husda au propaganda lakini sio makwambio na kaubudu kila siku.

Mfano leo hii wewe ukipata uteuzi, amini nakuambia hautakuwa na credit hata kama unastahili coz watu wataaona unalipwa fadhila. Halafu hiii mambo unawafundisha nini watoto wako?

Go back to be the Pascal who stood up for what he believes in. You will always be remembered for how you confronted the late Magufuli on budget issues, such a mzalendo mwandishi. Unapoteaaaa sanaaaaa Bwana Njaa (mayalla kikwetu ni njaa)
Shida yako wewe unataka watu wote wawaze kama wewe.yaani kama wewe huoni mazuri ya mh Rais na jitihada kubwa anazozifanya katika kutatua changamoto mbalimbali basi unataka sote tuwe kama wewe na tufanye mashambulizi yasiyo na msingi kama mahayawani. Unataka kiongozi au Rais wetu akifanya kazi vizuri kama afanyavyo hivi sasa basi tusimpongeze wala kusema bali tukae kimya kama mabubu. Hutaki apongezwe na kutiwa moyo kwa kazi nzuri anazofanya.kwako wewe kila anayepongeza kwa kazi nzuri ya mh Rais unamwita chawa. Sasa mimi kama kuusema ukweli na kupongeza kwa kazi nzuri ni uchawa basi ni bora niitwe chawa lakini sitaacha kumpongeza mh Rais kwa kazi kubwa anayoifanya.nitaendekea pia kutoa ushauri pale napoona panafaa kufanya hivyo kwa afya ya ustawi wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake.
 
Kuna siku nitakuandalia Uzi kukuhusu wewe niweke Hadi picha zako na familia yako.. huu uchawa umezidi sasa .. Kama unabisha sema suu
Acha uwendawazimu wewe.ukilewa na kuvuta mabangi yako huko unajifanya kumfahamu kila mtu hapa.unamletea nani vitisho sasa? Kweli wewe una wazimu kichwani mwako.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ndio maana tunaona kila sehemu amegusa ,kufika na kuweka mkono wake.ndio maana watanzania wana imani na matumaini makubwa sana .....

Amegusa sekta zote yes, mpaka sasa wale waliotajwa kwenye ripoti ya CAG wanatetemeka kwa na mna anavyowashughulikia....

Rais samia ameshamaliza kazi ya kuweka mazingira wezeshi kwa watanzania wote kunufaika kwanza na fursa zilizopo nchini.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hata mimi naona ameweka mazingira wezeshi ya watanzania kuanza kunufaika na fursa zilizopo nchini.

Hata mchakato wa uwekezaji wa Bandari ulikuwa wa wazi na ushiindani hadi kumpata mwekezaji DP World.

Naona kule Loliondo na Ngorongoro kuna ugenishaji unaofuata taratibu na usawa hadi wazungu wanapitisha maazimio kwenye Bunge la Ulaya kumpongeza

Apewe maua yake kwa sababu hata wamachinga wanatamani aendelee kuongoza Tanzania kwa miaka 10+

Hongera Lucas mwashambwa kwa kuona mema mazito ya rais
 
Wanakosoa nini? Maana pinga pinga na ulalamishi FC kama wa CHADEMA huwezi ukauita ni ukosoaji bali ni ujinga tu
Ndo uzuri wa CCM yangu.
Ni waasisi wa ubaguzi kwani yeyote anayekosoa anabandikwa cheo cha adui wa taifa.

Hao CHADEMA ni alliens kutoka angani? Sheria za nchi zinasemaje kuhusu kutoa maaoni? Sheria za nchi zinasemaje kuhusu kuendesha siasa nchini? Sheria gani inakiukwa kwa mtu anayetoa mawazo mbadala? Kupinga pinga na kusifia sifia bila kujali ukweli ipi ni bora?
Je kioo kinachoonesha taswira yako halisi kinafaa kuvunjwa ili kiwepo kinachoonesha uzuri tu hata kama umevaa maronyaronya?

Nchi imekwama kwa sababu Mwashambwa and Co wanachowaza ni kupaka rangi jina la Rais na siyo kushauri ama kutoa maoni yanayosawiri ukuaji mtambuka wa sekta nchini.

Nchi imekwama kwa sababu Mwashambwa and Co. Wapo bize na power mongering kama source yao ya maisha badala ya kuchochea fikra chanya na utekelezaji wa ilani yao iliyoshindwa.......

Need me to say more?
 
Hayo yote yapo katika mchakato na yatapatikana tu.kikubwa ni kutoa ushirikiano katika kila hatua.Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania amedhamiria kuipatia nchi katiba mpya
Hana lolote huyo Mama mnyonga Mashehe huku anawaachia akina Sabaya.
 
Hata waliomtangulia wote walikwama hapa, chama chake ndio tatizo.

Kuna maeneo kajitahidi vizuri sana,..... mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Huyo Mama ambaye badala ya kunyonga Mafisadi waluotajwa na CAG yeye ananyonga Mashehe.

Amemuachia Sabaya amerudisha Makonda Siasa za chuki zimerejea kwa kasi.
 
Hana lolote huyo Mama mnyonga Mashehe huku anawaachia akina Sabaya.
Kama umeonewa mahakamani nenda kakate rufaa na siyo kumtupia lawama mh Rais wetu mchapa kazi. Maamuzi ya mahakama yanapingwa mahakamani kwa kukata rufaa na siyo kuja huku kulalamika na kupiga porojo zako.
 
Huyo Mama ambaye badala ya kunyonga Mafisadi waluotajwa na CAG yeye ananyonga Mashehe.

Amemuachia Sabaya amerudisha Makonda Siasa za chuki zimerejea kwa kasi.
Kwa sasa siasa za amani,upendo, maridhiano ,staha ndizo zimetawala katika uongozi shupavu na madhubuti wa jemedari wetu mama Samia Suluhu Hasssan.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais samia mama mchapa kazi,mzalendo wa kweli, nuru ya wanyonge, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini,chuma cha Reli,mama wa upendo ameutendea haki sana Urais. Viatu vya urais alivyo vaa vimemuenea , kumkaa vizuri sana na kumpendeza mama yetu.

Ndio maana tunaona kila sehemu amegusa ,kufika na kuweka mkono wake.ndio maana watanzania wana imani na matumaini makubwa sana na uongozi wa Rais samia,kwa kuwa ni uongozi ambao umeleta na kuinua matumaini ya ndoto ya kila mtanzania katika kufikia na kutimiza malengo yake.

Katika uongozi wa Rais samia ukifanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa lazima ufaidike na kupata matunda ya jasho lako. kila mtu ana nafasi sawa katika kufanikiwa.fursa zipo kwa kila aliye tayari kuzitumia. Rais samia ameshamaliza kazi ya kuweka mazingira wezeshi kwa watanzania wote kunufaika kwanza na fursa zilizopo nchini.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Ww co chawa tu,lkn ni kupe
 
Huyo Mama ambaye badala ya kunyonga Mafisadi waluotajwa na CAG yeye ananyonga Mashehe.

Amemuachia Sabaya amerudisha Makonda Siasa za chuki zimerejea kwa kasi.
Kwa sasa siasa za amani,upendo, maridhiano ,staha ndizo zimetawala katika uongozi shupavu na madhubuti wa jemedari wetu na Rais wetu Mh mama Samia Suluhu Hasssan.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais samia mama mchapa kazi,mzalendo wa kweli, nuru ya wanyonge, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini,chuma cha Reli,mama wa upendo ameutendea haki sana Urais. Viatu vya urais alivyo vaa vimemuenea , kumkaa vizuri sana na kumpendeza mama yetu.

Ndio maana tunaona kila sehemu amegusa ,kufika na kuweka mkono wake.ndio maana watanzania wana imani na matumaini makubwa sana na uongozi wa Rais samia,kwa kuwa ni uongozi ambao umeleta na kuinua matumaini ya ndoto ya kila mtanzania katika kufikia na kutimiza malengo yake.

Katika uongozi wa Rais samia ukifanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa lazima ufaidike na kupata matunda ya jasho lako. kila mtu ana nafasi sawa katika kufanikiwa.fursa zipo kwa kila aliye tayari kuzitumia. Rais samia ameshamaliza kazi ya kuweka mazingira wezeshi kwa watanzania wote kunufaika kwanza na fursa zilizopo nchini.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kila siku nyee nyee nyee nyee nyee saa100 meemmee mmaammmaa mshenzi kweli wewe peleka ukunguni mbali na hapa leta uchambuzi unaostahili jukwaa hili.
Namba za simu miaka yote bado hujaonekana tu? Haya wahi kwenye jaruba la mpunga mvua hizzo achana na kubembeleza vicheo mbuzi hapa!
 
Huyo Mama ambaye badala ya kunyonga Mafisadi waluotajwa na CAG yeye ananyonga Mashehe.

Amemuachia Sabaya amerudisha Makonda Siasa za chuki zimerejea kwa kasi.
Hajanyonga masheikh bhana, hao jamaa wamehukumiwa na mahakama baada ya kukutwa na hatia...... isitoshe wanaweza kukata rufaa.

Hapo kwa CAG ni makosa ya mfumo mzima na Ccm ikiwa sehemu yake.

Tunahitaji total reforms kwenye kila kitu.
 
Kila siku nyee nyee nyee nyee nyee saa100 meemmee mmaammmaa mshenzi kweli wewe peleka ukunguni mbali na hapa leta uchambuzi unaostahili jukwaa hili.
Namba za simu miaka yote bado hujaonekana tu? Haya wahi kwenye jaruba la mpunga mvua hizzo achana na kubembeleza vicheo mbuzi hapa!
Rais Samia anastahili pongezi na shukurani kubwa sana kwa mambo makubwa aliyoyafanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake, yaliyogusa maisha ya mamilioni ya watanzania na kuleta matokeo chanya kwa watu wengi.
 
Hajanyonga masheikh bhana, hao jamaa wamehukumiwa na mahakama baada ya kukutwa na hatia...... isitoshe wanaweza kukata rufaa.
Hizi Mahakama zinazofanya maamuzi kwa utashi wa Mwenyekiti wa CCM na maagizo
 
Back
Top Bottom