Rais Samia ameonesha udhaifu mkubwa; sasa itaonekana kesi dhidi wapinzani zina mkono wa Serikali

Kunapokuwa na mabaya tukosoe. Palipo mazuri tuunge mkono. SSH ktk hili amefanya jambo jema. Alirithi nchi ikiwa imegawanyika. Hata nawe na uzi wako huu pia furahi palipo na mazuri. Na kosoa palipo na kasoro. Na hiyo ndo Demokrasia.
 

Kama kweli una hasira, basi kunywa sumu ufe. Maana huna faida yoyote ile hapa duniani.
 
hili ni pigo kubwa sana kwa mama

Pigo kubwa sana kwa mama, au ni pigo kubwa sana kwenu nyinyi wapotoshaji na wachonganishi? Ilibakia kidogo tu mumharibu kabisa mama wa watu kwa kumlisha matango pori! Watu wabaya sana nyinyi.

Halafu eti bila hata ya chembe ya aibu, unasema "hili ni pigo kubwa sana kwa mama" Hakuna pigo lolote. Na binafsi natamani kumuona huyu mama akiwapuuza watu wabaya kama nyinyi.
 
usi panic mkuu, haya maisha tunapita. hakikisha watoto wanakula na kusaza
 
Kwa mashahidi wale wa mchongo ulitegemea serikali ingeshinda ile kesi, embu shirikisha ubongo wako mkuu, Mama Samia aliona kabisa kwa kesi hii mambo yatamuwia vigumu 2025 hivyo kaamua kupiga goti na kulamba miguu ya Mh. Mbowe 😀
Nakuunga mkono ila unaposema mama kaamua kupiga goti na kulamba miguu ya Mbowe hilo ni tusi. Kumbuka rais yupo bado madarakani na Mbowe ni binadamu hivyo kutenda kosa baadae ni jambo linalowezekana.
 
Nendeni mkatambike kwenye kaburi la DIKTEKA UCHWARA.
 
Reactions: Qwy
salamu za Tanzania safi, Tanzania rafiki, na Tanzania salama kabisa. Hizo pia ni salamu za tunu ya umoja wa kitaifa na mshikamano. Kazi iendelee.2021-2030 Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania ni Samia Suluhu Hassan.
 
Naunga mkono hoja
 
Mungu azidi kumpa hekima, busara na maarifa Rais wetu Taifa kwa kupitia yeye limekombolewa na linasonga mbele kwa mafanikio makubwa.
 

Magufulists? Kwa faida ya Watanzania, fafanua huo ni mlengo gani kiitikadi? Vinginevyo itaeleweka kuwa ni cult - personality cult.

Tena cult inayotisha; inayojua kuwa Mbowe ana kosa la ugaidi against all logic and evidence to the contrary and is hell-bent to see Mbowe convicted, in prison or even at the gallows!

Watanzania hawako hivyo. Kwa akili ya aina hiyo naanza kuelewa hoja ya hatari iliyokuwa ikikabili taifa Magufuli angeendelea kuwepo. Proceedings za hii kesi tusingezijua; Mbowe angefungwa na CHADEMA ingefutwa - kibabe.
 
Kwa kukubali viongozi wa dini kumvaa na kwa uhakika ni kwa ushawishi wa askofu shoo rais samia ameonyesha udhaifu mkubwa.
Kesi hiyo mliitengeneza kama mbinu ya kumvuruga mrithi wake, Sasa Naye amewajueni na atawaadabisha vilivyo, mjipange🤪
 
Reactions: Qwy
Umeandika upuuzi.
 
Ili yaishe upande mmoja Ili bidi u haibike .nazani kwenye ile mikopo pia ali ambiwa ilo likiwa kama sharti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…